Bifu la uwoya na Flora mvungi kupitia XXL ya B12.

Bifu la uwoya na Flora mvungi kupitia XXL ya B12.

Jaguar

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2011
Posts
3,437
Reaction score
1,027
Uwoya amchana live mpenzi wa Flora Mvungi i.e H-baba kwamba hafai katika mapenzi kwa sababu hana stamina katika uwanja wa 6 kwa 6. Flora Mvungi naye akaja juu na kudai kwamba maneno ya Uwoya ni maneno ya mkosaji na akadai zaidi kwamba H-baba hana tatizo katika mapenzi na yuko fiti ile mbaya.Wakati malumbano yakiendelea,dada mmoja akapiga simu clouds fm,akakataa kutaja jina lake lakini naye akazidi kuchagiza kwamba H-baba si lolote si chochote katika ulingo wa ma-lovey dovey,ana mbwembwe za kukata viuno jukwaani tu.Haya ndio mapenzi ya ma-star wa ki-bongo.
 
ah ah si nilisoma kwe makorokocho h baba kamalizia kuwa uwoya amezoea kuliwa kiboga ndo maana alimuacha?
 
Wakajambe vumbi kule, vocha wakubwa
 
Shule muhimu jamani, hakuna QT ya primary hawa wakaanza shule.
 
ah ah si nilisoma kwe makorokocho h baba kamalizia kuwa uwoya amezoea kuliwa kiboga ndo maana alimuacha?
Hata mi nilihisi hivyo,why uwoya atoe povu namna ile kisa H-baba yuko na na dada flora mvungi?
 
Tatizo la hawa mastar wetu wa bongo elimu ni 0, hata elimu ya maisha nayo imewapitia pembeni..hivi hakuna NGO's zinazoweza kujitolea kuwafundisha at least na wao wapate kitu kichwani??yani wanajibishana ujinga kwenye media na wanaona sawa tu!what a shame?kha!
 
ah ah si nilisoma kwe makorokocho h baba kamalizia kuwa uwoya amezoea kuliwa kiboga ndo maana alimuacha?


Kwa hiyo Irene Uwoya akicheka anajamba?...
Hebu mwenye namba zake za Simu na anitupie kwa Inbox...
 
Sioni sababu ya Uwoya kumkashif H baba jee yeye ni hodari kiasi gani kwenye mapenzi? unyago gani alipitia mpaka amuone mwenzie hajui? vyovyote itakavyo kua H baba ni mwanamme yeye ni mwanamke anaonyesha nini jamii kua anaorodha ya wanaume alolalanao na yupi anajua yupi hajui mapenzi? mshenzi wa maadili na anawatukanisha wazazi wake....
 
Huwa nawaonea huruma sana wazazi wa hawa wanaojiita eti Star. Sijui huwa wanajisikiaje watoto wao wanapotoa upuuzi wao wanaoufanya hadharani. Poleni sana wazazi wa wanaojiita CELEBRITIES wa bongo kwa aibu mnayopewa na vizazi vyenu.
 
Xxl mnapenda sana umbea na kupalilia bifu za wasanii, then after mnajifanya wasuruhishi, shame on u
 
Back
Top Bottom