Bifu la WCB na Efm sasa limeisha rasmi

sinza pazuri

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2014
Posts
3,344
Reaction score
9,066


Hatimaye sasa wcb na efm wanafanya kazi pamoja ili kuupeleka muziki wetu kimataifa. Leo alikaribishwa msanii wa wcb baada ya muda mrefu ili kufanya interview.

Wale wanafki wanaoendelea kubana muda utawaumbua kama ulivyowaumbua eatv & eastafrica radio.
 
Wcb warembo kuliko hata dem wang
Aseeee
 
Ni wakati wa clauds na eatv kuungana[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Wanajeuri ya baba yao bashithole...maana hao wote ni watoto wa baba mmoja
 
mwandishi atakua wa wcb....issue ni kwamba wcb washajiona kina 50cent kwamba they dont need any media...kwamba wakitoa nyimbo zao youtube inatosha yani wewe ndo ufanye wanachotaka...hahahah sasa wamechacha wanafanya interview na radio ndogondogo imebidi wakampigie goti dj ndo yakaisha....yule mwarabu anawapeleka chaka sana....kiburi si kitu kizuri, waswahili wanasema maskini akipata matako hulia mbwata...manake ndio hii...diamond alitolewa na hizo media ambazo leo anazionya nnya....imefikia hatua hadi wasanii wao wadogo wanavimbia media...??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…