Bifu la Zari bossy lady, Anitha Fabiola lafika pabaya...

huna kavideo tuone alivyo kuwa anongea? nani alikosea na kwanini Anitha aliomba radhi ikiwa watanzania wote wanasema Zari ndio alikosea?

Aliomba radhi kwa usumbufu uliojitokeza kwa wageni waalikwa.. sasa unadhan na yeye ange react ingekuaje? Acha zako binamu bhana

That anitha has been secretly hating on Zari for a long time , Mara nyingi amekua akimponda Zari kwa radio mara this and that , you know divas issue who is better than the other , so the fact that anitha dared to call Zari mama, I think Zari took it personal , hakupenda kuwa addressed as such, may be alitaka kuitwa judge coz that’s what she was there for , she was a judge not a mother at that time , so shoga angu Zari ndo aka explode, she was tired of her ingawa hakutakiwa kufanya vile on such occasion
 
huna kavideo tuone alivyo kuwa anongea? nani alikosea na kwanini Anitha aliomba radhi ikiwa watanzania wote wanasema Zari ndio alikosea?
Nimeshindwa kukatoa huko nilipokaona ila ilianza baada ya Zari kuitwa mbele akiwa kama Jaji awataje top five halafu mshindi lkn inaonekana Zari hakuwa anataka kufanya hyo kazi lkn watu wakamsihi aendelee tu lkn katika hali ya ajabu akaanza kujiongelesha tuuuu yy ni bosslady blaa blaa nyingi , ndio baadae Anitha akaomba msamaha alipofika kutaja mshindi akampa Anitha karatas asome, Anitha na yy hakuwa anataka kusoma baadae kakubali kakamtaja mshindi, nadhani wana bifu wale
 
Bora fabiola mic yake ilichukuliwa


Angeweza kwenda kumuambia sikioni.. ila nae alipandwa sijui kupata kiki..

Eeeeh kituko.. lazima waeleze kilichojiri
Yaa nadhani baadae watasema kila mtu ni kwann ilikuwa hivyo
 
Nimependa jinsi Fabiola alivyokua calmed, alimuita mama sio in disrespectfull way, alimuita 'Mama' kwa heshima,

Zari alikua judge na Fabiola alikua Host ikawaje sasa akaingilia jukumu la mwenzie?

This 'mama' has issues kwa kweli.

The thing is, Fabiola used to call Zari the granny, ndio maana ata Jana alivyoitwa mama though it wasn’t bad ila Zari she knows better , she couldn’t just react like that for nothing , anitha alikua wnamchota akili
 
Sasa kwenye hii video mbona sio kosa la huyo Zari?kazi ya kutangaza mshindi au top five ilikuwa ya majudge sio mtangazaji na mtangazaji aliona kama Zari ana poteza muda hivyo akawa kama ana muingilia kwa kuongea na hilo lilikuwa kosa maana Zari alitaka kutoa maono yake na kuwa inspire washiriki na wahudhuriaji lakini hata watu walikuwa wana shangilia anachosema na kuwambia... kwa hiyo kumuingilia mtu akiwa ana ongea ni kosa ndio maana Zari akampa karatasi asome kama anaona yeye ana poteza muda....
Halafu hii issue ilikuwa ndogo sana Host alitakiwa kumpa nafasi judge aseme halafu baadae ndio atangaze mshindi .....video haineshi kama shidi ilikuwa kuitwa Mama.... hii issue ina kuzwa tuu
 
Nimependa jinsi Fabiola alivyokua calmed, alimuita mama sio in disrespectfull way, alimuita 'Mama' kwa heshima,

Zari alikua judge na Fabiola alikua Host ikawaje sasa akaingilia jukumu la mwenzie?

This 'mama' has issues kwa kweli.
Aah aah aah! anataka aitwe binti wakati ana watoto watano km kuitwa mama anapanic kiasi hicho je angeitwa mzee si angeuwa mtu?
 
Alifanya nini au aliongea nini mbona husemi??
 
Loh sijaelewa kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…