Bifu la Zari bossy lady, Anitha Fabiola lafika pabaya...

Na iwe hivyo mambo yapambe moto. Hater watajampa cheche
Yani miss Uganda ilivyo trend Tanzania naona kuliko hata huko uganda. Zari inabidi awe chief judge au host wa miss Tanzania ili itrend nayo
 
Kwani Hilo shindano liliandaliwa kwa ajili ya huyo zari na anitha? au kwa ajili ya mamisi?

Anitha na Zari wana bifu la mda mrefu, so kupitia ile event anitha was a host while Zari alikua judge , so Naona Zari alitaka kumwambia anita look bitch I’m not your level, I’m boss lady and I’m a judge here, you are no body , hata ukiangalia the way alivyokua anamnyar anita, Zari alitaka ku pretend that she was just joking while she intended kabisa kumfanyia vile anita
 
Kwahiyo kuleta malumbano kwenye tukio muhimu namna hii kisa waandaaji ni rafiki zako ndio akili?..Waafrika tuna matatizo sana

Yes, ile event ingekua ya watu wengine sidhan kama angeji behave that way, ndio maana walisema urafiki na Kazi havikai pamoja, hakuna kitu wanaweza mfanya Zari inshort Ndo kafanya miss Uganda iwe na msisimko kuliko kawaida, Zari Ana nyota bhna
 
Yes, ile event ingekua ya watu wengine sidhan kama angeji behave that way, ndio maana walisema urafiki na Kazi havikai pamoja, hakuna kitu wanaweza mfanya Zari inshort Ndo kafanya miss Uganda iwe na msisimko kuliko kawaida, Zari Ana nyota bhna
Hiv unafikiri Bila hiko kituko kutokea hilo shindano lingetrend?
 

Waongaji sana ni waoga sana
Mf Mange
 
Waongaji sana ni waoga sana
Mf Mange

Mange ni loser , Kaachika hana mbele wala nyuma , mwenzake kaachika kaachiwa ghorofa, yeye anaishi gheto na ndoa hana , lazima povu limtoke[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Fabiola mzuri....Thank you Zaddy for putting her on the map...Katoto kazuri...Very portable...Mama wa taifa amejiangusha...
 
Crap
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…