Ramadhani Juma Abdallah
JF-Expert Member
- Mar 18, 2017
- 390
- 230
Yamshushie mara ngapi mzee mshungaji shilawadiHivi huyu gwajima hanaga kitukingine cha maana chakufanya zaidi ya kujibizana na watu.
Haya mambo ya kujibizana kilasiku yatamshushia heshima.
Gwajima sio mtumishi wa Mungu tena, ni mtumishi wa Wambea.ndogo afanye mzki aache kutafuta kiki kwa watumish wa Mungu
Account ya diamond ni ipi?, hebu tuwekee hapa na sisi tukuamini usemachosio account ya diamond hyo
Actually it is the opposite!Huyu diamond anatafuta kiki kupitia gwajima?
Alishakuchokonoa nini?Sio anatafuta bali anajisimamia, gwajima anamchezo mbaya na sio mzuri kabisaaa.
Huyu diamond anatafuta kiki kupitia gwajima?
Alishakuchokonoa nini?
Utayala tu hatakama yananukaGwajima hana shida na sadaka labda bashite na mondi,unajua mondi anatumiwa na bashite.ndo hapo utagundya tofauti ya Almas na king kiba,king kiba hatumiwi na bashite kwani kiba anajielewa sio sawa na ziro brain
Ahahahaaaaa kazi unayoNa ulimsimamia anichokonoe, pimp mkubwa wewe.