Bifu lapamba moto on fire Diamond asema kama anazo na azitoe

Bifu lapamba moto on fire Diamond asema kama anazo na azitoe

Hivi huyu gwajima hanaga kitukingine cha maana chakufanya zaidi ya kujibizana na watu.
Haya mambo ya kujibizana kilasiku yatamshushia heshima.
Hiv huyu diamond ameishiwa mashairi mbaka aanze kuwaimba watumishi wa Mungu
 
Kwanza hiyo sio account ya simba haf kama ni kweli pia kuna ishu flani hivi inataka izimwe
 
Gwajima hana shida na sadaka labda bashite na mondi,unajua mondi anatumiwa na bashite.ndo hapo utagundya tofauti ya Almas na king kiba,king kiba hatumiwi na bashite kwani kiba anajielewa sio sawa na ziro brain
 
Anasupport kubwa ... My lord.. Toka wapi!?? Hivi mbona vilaxa mnaongezeka nchini kwa kasii!??

Support!!!???
Njia moja wapo ya kutambua kilaza ni kitendo cha kufanya x kuwa z haya ni mambo ya ajabu kabisa.
 
Hiv huyu diamond ameishiwa mashairi mbaka aanze kuwaimba watumishi wa Mungu
Gwajima kwa taitoyake kujibizana na mtu Kama diamond nikujishushia heshimatu.
Kuna wakati flani mtu ukiwa na nyadhifa kubwa huna haha ya kubishana na kila mtu, watu wanaweza kukupuuza.
 
Hapo mshamba awez kuelewa hii si acc* ya domo hiyo eti kwamba post imepostiwa 12 minutes ago ina likes 8 na domo alivyonawafuaswi weng hvy.... mtoa mada acha upimbi ww unachochea watu famba wewe
 
Gwajima haropoki jamani
Yaaaaani pale ni maporomoko tu.

Kanisa limekuwa genge la umbea, yaani unajiuliza amepitia mistari kweli ktk bible kwa ajili ya waumini au anatumia muda kuwaza mambo ya shetwani tu.

Make Yesu anasamehe ibilisi kwake ni kisasi, huyu kasisi wa mashaka
 
Ata kama gwajima kazid kwa utumixhi wake wa ku deal na mtu mmoja mmoja wakat kuna waumin kadhaa wenye kumuingizia kipato wana matatizo chungu nzima, ninachoamin gwajima amekuwa mwanasiasa kuliko kaz anayotaja kuwa katumwa
 
Back
Top Bottom