Bifu lapamba moto on fire Diamond asema kama anazo na azitoe

Bifu lapamba moto on fire Diamond asema kama anazo na azitoe

5e7e0e69cb763a1c6936c8700a6253e4.jpg
4c127883b724ee02b49babbe6b968367.jpg

Bifu la pamba moto Diamond amtolea povu Gwajima.Adai adai ni mnafiki na muongo.Je Gwajima akizinyaka hizi itakuwaje?

Oya ' Masela ' popcorn nzuri zinapatikana wapi?
 
kaeni kimya na nyie mnamchokonoa wa nini, yeye akifunga nyie mnamuandama, akiwaandama nyie maneno hayooo, kweli kunya anye kuku lakini akinya bata kaharisha
mi nakwambia hivii,huu awamu sio ya kuchekeana kama awamu zilizopita,heshima ya serikali itabaki palepale,endeleeni kumpa kichwa cz anapenda sifa
 
mi nakwambia hivii,huu awamu sio ya kuchekeana kama awamu zilizopita,heshima ya serikali itabaki palepale,endeleeni kumpa kichwa cz anapenda sifa
kaeni kimya, maisha yaende hata kama mimi unichokonoe nikae tu nitulie nikutizame kama sanamu, wakati madhambi yako ninayajua, hell no my friend, lazima na mie niback fire
 
Man STUNTER acha kupoteza nguvu yako manake kuna watu sio mafala tu bali ni viazi....kama vitu vidogo kama hivyo wanashindwa kuving'amua utapata tabu kumuelewesha chizi (in darassa voice's)
Dah kweli aisee, basi acha nikojoe nikalale tu...
 
Back
Top Bottom