Are you sure? Kuna kitu kimoja binafsi nakikumbuka kuhusu Diamond. Enzi hizo nilikuwa mfuasi wa magazeti pendwa (maarufu kama ya udaku). Nakumbuka mara ya kwanza niliona jina lake humo; but niliishia kusema "who's the hell is Diamond!" Nakumbuka enzi hizo, nilikuwa nikiiona tu Nenda Kamwambie kwenye TV, nilikuwa nabadilisha station. Nikaja kuona tena jina lake tena na tena; mara cku moja Nenda Kamwambie ikapigwa Ch5. Nikaamua kuisikiliza/kuitazama! Hapo hapo nikaipenda ile nyimbo!ya kwanza ni mbagala kisha iliyofata nenda kamwambie
Siku naiona Mbagala kwa siku ya kwanza kabisa; nilikuwa tayari nimeshafahamu who's Diamond.