Bifu lazidi kupamba moto: Baby madaha amchana tena diamond baada ya diamond kumdiss

Bifu lazidi kupamba moto: Baby madaha amchana tena diamond baada ya diamond kumdiss

Are you sure? Kuna kitu kimoja binafsi nakikumbuka kuhusu Diamond. Enzi hizo nilikuwa mfuasi wa magazeti pendwa (maarufu kama ya udaku). Nakumbuka mara ya kwanza niliona jina lake humo; but niliishia kusema "who's the hell is Diamond!" Nakumbuka enzi hizo, nilikuwa nikiiona tu Nenda Kamwambie kwenye TV, nilikuwa nabadilisha station. Nikaja kuona tena jina lake tena na tena; mara cku moja Nenda Kamwambie ikapigwa Ch5. Nikaamua kuisikiliza/kuitazama! Hapo hapo nikaipenda ile nyimbo!

Siku naiona Mbagala kwa siku ya kwanza kabisa; nilikuwa tayari nimeshafahamu who's Diamond.

Kwahiyo??
 
Nyie watandale mnajuaga ya duniani kweli? I guess hata Forbes hujui unajua shigongomajungu.com

----- wewe,sisi wa tandale ndio tunao wapanda ovyo kama farasi kama ulikua hujui..k..ma wewe.
 
Huyo baby madaha ana hadhi gani ya kula lunch kempisky. Hicho kipapuchi chake kinavyonuka hata getini haingii 😛uke:.
 
Duh!watu wa tandale mnajua kutukana!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Jamani heaven on desert uko wapi bosi wako anapondwa huku njoo umtetee,shauri yako kibarua kitaota nyasi wahii
 
Duh hatari,ila ki ukweli huyu demu kimuziki yupo vzuri and she is smart as well,muziki wake ni classic,ila ndo she is not marketable like diamond,ila now she is under a good management,ni kati ya wasaniii wachache wenye bahati bongo,na ndiye msanii pekee anayesukuma audi

Tehee teheee... Hiyo audi kanunua kwa hela yake?? Meneja akim damp na audi siatakabidhi??
 
wassira keshaandaa appointment, watakutanishwa ikulu kumaliza hilo bifu lao
 
Sasa ivi pesa imemtembelea,hyo kampuni ya candy ipo vzur sana kifedha,nasikia baby madaha anazindua brand ya perfume yake pamoja na mikoba sijui,pia anamiliki mikoko miwil hatar ikiwamo ile audi ya bei mbaya ambayo alitaka kuja nayo bongo kuuzia nyago sema mpakani wakazingua ushuru,ila angekuj nayo tu mbona wabongo wangekoma,ki ukweli yupo vzur huyu demu na muziki anaoufanya ni wa hadhi fulani yaan naamanisha ulaya ulaya na ndio maan hana mashabiki wengi,ila she is good sema mapepe tu ya ukike ila yule sio level za apa kabisa sema hajajitambua tu
 
huyu dada pombe zinamuumiza anajikuta anaropoka,apumguze stree amsaidie mama yake mazazi sijui mdogo kule kwao anateseka,kwanza jajulikan pili hana cha.maana kumfanya kumdisi.diamond.ama juma nature alietdate nae ni zaidi ya pltm
 
Warumi mbona unamfagilia sana??! Au wewe ndo baby Madha unajipa promo humu? Huyu alibajuliwa na Nura enzi anasoma tsj .
 
Mpuuzi tu huyu hana lolote ndio kutafuta kick kwenyewe huku
 
Kaka usibishe...mi ni mdau wa music aina zote(kasoro taarab na likes of it)
Nenda kamwambie ilikuwa ni single ya kwanza ya Diamond kuwa aired...nakumbuka....mjukuu wa Ambua alisaidia sana kuipromote ikawa requested sana akiwa under bob junior then Mbagala(my favorite)na nyinginezo zikafuatia.......

Hapana, Mbagala ndo ilianza
 
labda mi ya kwanza kuisikia ni mbagala labda nilichelewa kuisikia kwa kamwambie sababu sikuwepo Tanzania wakat huo
Now u're talking, na umuhimu zaidi ni hapo kwenye RED manake ungekuwa TZ, ningesema there's no way usiisikie lakini kv hukuwapo, hiyo itakuwa ndo sababu.
 
Sasa ivi pesa imemtembelea,hyo kampuni ya candy ipo vzur sana kifedha,nasikia baby madaha anazindua brand ya perfume yake pamoja na mikoba sijui,pia anamiliki mikoko miwil hatar ikiwamo ile audi ya bei mbaya ambayo alitaka kuja nayo bongo kuuzia nyago sema mpakani wakazingua ushuru,ila angekuj nayo tu mbona wabongo wangekoma,ki ukweli yupo vzur huyu demu na muziki anaoufanya ni wa hadhi fulani yaan naamanisha ulaya ulaya na ndio maan hana mashabiki wengi,ila she is good sema mapepe tu ya ukike ila yule sio level za apa kabisa sema hajajitambua tu
Kuzindua brand za perfume na mikoba si hoja; jambo la msingi is what you own and how powerful(in terms of decision making) u're kwenye hizo brand otherwise utaishia tu kutamba kwamba unazindua brand ya so and so wakati wanaonufaika ni watu wengine. Leo hii Lady JD nikisikia anazindua brand ya so and so, hapo hapo naweza ku-sense nafasi ya JD kama JD kwenye brand husika coz' she's ready in business and she's something to invest; hali kadhalika kwa Diamond but this's not true kwa Baby Madaha. Unaikumbuka Wanaume Family (ile ya mwanzo kabisa; ya kina Nature ndani), kulikuwa na products kibao such as viatu, trackuits, underwears, t-shirts etc ambazo zote hizi zilikuwa zinauzwa kwa jina lao lakini wenyewe hamna cha maana walichokuwa wanapata. Kidogo aliyekuwa anafaidika ni Fella; na kwavile Fella namjua alikotokea; naamini hata yeye alichofaidika nacho is just a small portion ya kile ambacho angenufaika nacho.
 
Back
Top Bottom