Bifu linaloendelea kati ya TCU na vyuo vya private

Mwankole

Member
Joined
Aug 21, 2014
Posts
84
Reaction score
26
Wana JF.

kuna bifu ilitokea kwenye mkutano kati ya TCU na Vyuo vya binafsi kwenye mkutano uliandaliwa na TCU tarehe 22/09/2014 kwaajili ya kupitisha majina ya wanafunzi waliodahiliwa kwa mwaka wa masomo 2014/2015, sababu kubwa ya kutokea kutokuelewana huko ni kwamba vyuo vya umma kama UDSM, UDOM, MZUMBE etc ilionekana vimejaziwa wanafunzi ili hali vyuo vya binafsi vikipewa wanafunzi kiduchu, sasa vyuo binafsi vilihoji utendaji kazi wa CAS?

Lakini pia ishu nyingine ilionekana kuwa huu mfumo wa CAS umeanzishwa ili kupiga zile 50,000/=. ili hali selection zote zinafanyika Manually.

swali la kujiuliza hapa je huo mfumo wa CAS unatenda haki kama ulivyopigiwa chapuo wakati unaanzishwa? je siasa nako huku zimeingia?
 
Sasa jamani hebu naomba tuwe fair, hivi kweli kuna kijana aliyetimamu ambaye yupo tayari kusoma vyuo mbuzi wakuu?

Dah eti mfano mi niende Mtwara university jamani si ntazimia jaman, E mola tusaidie kwakweli.
 
nimezungumza na mmoja wa viongozi wa chuo cha binafsi ambaye alikuwepo kwenye huo mkutano
 
Sasa jamani hebu naomba tuwe fair, hivi kweli kuna kijana aliyetimamu ambaye yupo tayari kusoma vyuo mbuzi wakuu? Dah eti mfano mi niende Mtwara university jamani si ntazimia jaman, E mola tusaidie kwakweli.

Minimum entry ya 2.5,,, ni hatari
 
Sasa jamani hebu naomba tuwe fair, hivi kweli kuna kijana aliyetimamu ambaye yupo tayari kusoma vyuo mbuzi wakuu? Dah eti mfano mi niende Mtwara university jamani si ntazimia jaman, E mola tusaidie kwakweli.

Acha mbwembwe dogo si umesema wewe unaenda udom kusomea urubani kati ya moja ya post zako umu jf :what::what::what:...... anyway nenda uko mtwara wakakufunze maisha dodoma hatuiitaji watu kama nyie
 
Acha mbwembwe dogo si umesema wewe unaenda udom kusomea urubani kati ya moja ya post zako umu jf :what::what::what:...... anyway nenda uko mtwara wakakufunze maisha dodoma hatuiitaji watu kama nyie

Hivi wewe kijana unajielewa kweli? Kwahiyo UDOM kuna kozi ya urubani hahahaha dah! Kweli BRN ni majanga hasa.
 
kaka inabidi uelewe kuwa hivyo vyuo vikuu vyote hapa TZ vipo chini ya TCU, na vimekidhi vigezo kwa kutoa elimu ya juu.

Lakini pia vyuo binafsi havipati ruzuku kama hivyo vya umma, so kwa wao kupewa wanafunzi wachache, ni kuviua automatically maana vitashindwa kujiendesha.
 
Hivi wewe kijana unajielewa kweli? Kwahiyo UDOM kuna kozi ya urubani hahahaha dah! Kweli BRN ni majanga hasa.

Kijana sikutaka kuku quote tu au kuna Pure HSM wawili umu ndani??? ?...
 
Last edited by a moderator:
!
!
Nashauri TCU wajitahidi kusoma kitu kinaitwa theory of invisible hand. Pumbavu sana Tanzania, kija kitu uchama uchama usisiemj mpaka basi.

Maanina, ache vyuo vishindane bana. Acha watu wachague wanataka kusoma nini na wapi.
 
Mkuu sidhani kama ni kweli wananyimwa wanafunzi,kama ni hivo basi ina mana wanafunzi wote walioomba wamepata vyuo.Mimi nafikiri vyuo binafsi ziwe na ubunifu na kozi adimu na zenye soko.

Pili kuna umuhimu wa TCU kugawa wanafunzi wenye ufaulu wa juu katika kila chuo,hii itaongeza ushindani vyuoni
 
Ni shida mkuu.
Unadhani nchi kama india au nigeria minimum qualification zao ukilinganisha na zetu zina uwiano gani.

Je kungekuwa na vyuo kumi Tanzania vyote vikiwa na hadhi ya muhimbili na kila kimoja kingekuwa na uwezo wa kuchukua wanafunzi 100 wa udaktari, minimum qualification ingekuwa ngapi?
 
Acha mbwembwe dogo si umesema wewe unaenda udom kusomea urubani kati ya moja ya post zako umu jf :what::what::what:...... anyway nenda uko mtwara wakakufunze maisha dodoma hatuiitaji watu kama nyie

majangaaa
 
Lkn acheni kudanganyana Aje hapa aliye chaguliwa ambako hakuomba. TCU cas haimpangii mtu chuo ni yeye mwenyewe ndio anachagua wapi anataka kwenda na computer inafanya kazi yake.

Ni jukumu la vyuo binafsi kujitangaza na kuwaambia hao applicant kwanini wasichague kwao na si ud dit mzumbe na kwingineko kwenye vyuo vya umma.
 
Nakuunga mkono mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…