ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,170
- 7,665
Wana JF
kuna bifu ilitokea kwenye mkutano kati ya TCU na Vyuo vya binafsi kwenye mkutano uliandaliwa na TCU tarehe 22/09/2014 kwaajili ya kupitisha majina ya wanafunzi waliodahiliwa kwa mwaka wa masomo 2014/2015, sababu kubwa ya kutokea kutokuelewana huko ni kwamba vyuo vya umma kama UDSM, UDOM,MZUMBE etc ilionekana vimejaziwa wanafunzi ili hali vyuo vya binafsi vikipewa wanafunzi kiduchu, sasa vyuo binafsi vilihoji utendaji kazi wa CAS? lkn pia ishu nyingine ilionekana kuwa huu mfumo wa CAS umeanzishwa ili kupiga zile 50,000/=. ili hali selection zote zinafanyika Manually.
swali la kujiuliza hapa je huo mfumo wa CAS unatenda haki kama ulivyopigiwa chapuo wakati unaanzishwa? je siasa nako huku zimeingia?
We kijana tarifa yako ina walakini kila chuo kinapewa kulingana na slots ambazo kiliombaaa bhna.....unachosema chuo gani cha private kimepewa wanafunzi kiduchu tofauti na kilivyo ombaa? Halafu kitu kingne vyuo vya prvte vng havifahamiki na watu wanashindwa kutuma maombiiii kijana usipende kuokota mambo