Super Sub Steve
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 17,404
- 10,900
kaka inabidi uelewe kuwa hivyo vyuo vikuu vyote hapa TZ vipo chini ya TCU, na vimekidhi vigezo kwa kutoa elimu ya juu. lakin pia vyuo binafsi havipati ruzuku kama hivyo vya umma, so kwa wao kupewa wanafunzi wachache, ni kuviua automatically maana vitashindwa kujiendesha
Ni ukweli lkn wahitimu wengi wanapenda kwenda vyuo vya serikali kwa sababu ya Gharama.Kwa mfano UDSM direct cost ni 77400 na kama una bima ya afya basi direct cost ni 27000 tuition fee pia ni ndogo hata mtu ukipata mkopo % ndogo unaweza mudu.Kwa mantiki hiyo Vyuo vya serikali waombaji wengi huviweka kwenye option za kwanza na private ni mwisho.Sidhani kama kuna mwanachuo ataweka ya kwanza katika chuo ambacho ada ni ndefu au usajili ni ghari.Angalia private ambao nao gharama sio kubwa sana utakuta navyo vinakimbiliwa.