playboy babu
JF-Expert Member
- Nov 12, 2015
- 2,648
- 1,566
Kimbia ukweli kisa haukuhusu.... Maendeleo kupiga show TEGETA... Nshamalizana na ww.ndio nyie mtu kwenda ulaya ni mafanikio..waafrika bwana
Ulisema nifanyie task FID Q,unamtetea msanii ambaye huna info zakendani ya miaka hiyo Joh alifanya ngapi za nje ya nchi ?????.....
NavyKenza"Vanessa Mdee wanamafanikio sana washawah piga show ulaya?Kimbia ukweli kisa haukuhusu.... Maendeleo kupiga show TEGETA... Nshamalizana na ww.
Kimbia ukweli kisa haukuhusu.... Maendeleo kupiga show TEGETA... Nshamalizana na ww.
Joh anafanya biashara na mawingu ukijumlisha na presenter wengi wa vipindi vya mchana wanatoka chuga so joh anapata sana airtime ila km ni hip hop joh hata kwa jay moe hafati
Joh makini yupo vizuri kwny nn zaidi ya kupewa promo ila anachoandika hamna kituna huko nje anakobamba, nako kuna watu wa arachuga. lazma tujue kila kipindi kina mvumo wake.
joh kwa sasa yuko vizuri. fid anabakia na heshima tu kama mbunge wetu prof jay.
Joh makini yupo vizuri kwny nn zaidi ya kupewa promo ila anachoandika hamna kitu[/QUOT
promo kivip ? huyo fid in underground? kitu kizuri lazma kipewe airtime. ndo ninyi team kiba ambao hamtaki kuukibali ufalme wa diamond kwa sasa. vile vile music imebadilika huon hata prof jay mwenywewe alibadilisha style ili aendane na kasi ya music sasa. hata fid mwenyewe haimbi tena
kama zamani enz za agost 13. so hip hop imebrandiwa kibiashara zaid kwa sasa.
Kwa hiyo wizkid ndo anatembea na list ya ma legend na underground... yy mwenyewe bado underground tuu... Rukaruka,lia, kimbia bt fareed will remain the best hiphop artist EAST AFRICA.NavyKenza"Vanessa Mdee wanamafanikio sana washawah piga show ulaya?
Acha utumwa ww Fid Zamani tu hamna kitu yule ameshindwa kwenda na mabadiliko...
Ndio maana aliitwa Underground kwenye show ya Wizkid mwaka jana na alikubali maana akasema kweli sijulikani inabidi nifanye kazi kujitangaza...Legend unaitwa underground hahaaa
HistoryKwa hiyo wizkid ndo anatembea na list ya ma legend na underground... yy mwenyewe bado underground tuu... Rukaruka,lia, kimbia bt fareed will remain the best hiphop artist EAST AFRICA.
Nyau kweli ww.... Huna cha kuniuliza kuhusu fid nmekwambia hivyo nna maana yanguUlisema nifanyie task FID Q,unamtetea msanii ambaye huna info zake
Haya ndio majibu yako ?Nyau kweli ww.... Huna cha kuniuliza kuhusu fid nmekwambia hivyo nna maana yangu
Kwani Fid Q na Joh elimu zao zimekaaje!?Hivi vigezo haviwezi kutupatia mbora kati yao....
Nijuavyo mimi....
Umri-Fid Q
Finances- Joh
Education-Fid Q
Exposure-Both...
Haya sasa niaambie who deserve to stay on top?
haya natengua kauli ya team kiba. bt nimetumia kama mfano ili tuukubal ukweli pale penye ukweli.. badala ya kuendekeza siasaMkuu niombe radhi sipo team kiba mimi
acha wivu bweg wwNaam,hapahapa ndipo nilipokuwa napasubiri.....
Na huyo Fid marioo anayelelewa na wanawake je?
Hili jambo huwa sipendi kulisema kwa heshima ya Fid ila mapopoma kama nyie ndio mnasababisha niseme.
Umenichekesha sana, wapani kweli noma.Sasa mnafuata nini humu? Watu wa Tabora si muende kwenye jukwaa lenu la kuliko mkachukue ushauri jinsi ya kurutubisha tumbaku