Bifu ya Fid Q na Joh Makini

Bifu ya Fid Q na Joh Makini

Si kila mtu anapenda ujumbe katika muziki, kazi kuu za fasihi kuburudisha na kuelimisha, anachofanya Joh ni burudani hasa jinsi anavyowasilisha kazi yake (rejea fani na maudhui) ,japo sipendi mziki kwa sasa lakini Joh naweza msikiliza mara mbili.Muziki kwangu ni burudani na style ndio akina Jay Z wamefanya vizuri kwa muda mrefu sana
usitudanganye Jay Z hajafanya vizuri kwa mda mrefu mafanikio ya kifedha aliyonayo tena ambayo kwa kiasi kikubwa hayajatokana na mziki ndo yanampa goodwill aonekane kana kwamba anafANYA vizuri
 
bongo hiphop by Fid Q ft Majani

VERSE 1:
Ulianza wewe.. wakaja waimbaji na wabana pua
Wale mwewe.. Franga wawindaji wakatusua
Kwakuwa.. wanajua mshikaji unaishi kwa miko

na zako itikadi.. ziko kimziki na sio mshiko
Kama haileti hela..basi haimake sense.. no sweat kisela mie nikakomaa tu na lako penzi
Sikusound garbage au kuchange suddenly..
Mie ni mjeshi so naweza fight savagely
Hiphop ya ukweli.. ukapigwa radioni/sometimes malaika wa heri nao hutembelea motoni
Penzi ni kipofu na anayemuona halioni

sikuwa na hofu.. mama alinipenda tangu nikiwa tumboni
I started young.. I made my mother's womb a drum
My umblirical chord a guitar.. muhoji aliyenizaa
BONGOFLAVA mzuri kiasi.. hiphop we ndo my queen

my 1st.. my last & everything in betweenjj


Chorus:
Mimi na wewe.. tangu long time

Kabla ya hizi pesa kabla haijaja hii Fame
Cha ajabu haujabadilika na upo kwenye mainstream… BONGO HIPHOP X2

VERSE 2:
Kama kukupenda wewe ni dhambi.. basi shetani yu nami

na kamwe sintonyea kambi ili niwabambe dukani
For a million little pieces naweza kumcon Oprah ka James Frey
Na watasema sitishi wakati wanaogopa nisitokee
Waufuate mkumbo huu wa wasomi.. wa midundo na mistari

ukiwa na nyundo mkononi.. ni rahisi kupigilia msumari
Sio tu bongo.. mpaka Ng'ambo hakuna uhuru wa habari

kuna uhuru wa mwenye chombo.. mitambo na mwenye mali
Kujifanya hawasikii.. haiwasaidii.. wala haiwajengi

unachosema ni.. kamwe IPP haitompinga Mengi
Unawakumbusha wazazi wa uswazi.. chati ya uteja imeingia

na Mapusha wanauza drugs ili walishe familia
Mbaya.. kuhifadhi fuvu la mtu ndani ya kabati

mbaya zaidi ni kuwa na ndugu.. halafu kichwa maji
Amka bongo lala.. hiphop sio ufala.. ni lazima uifate
Uaminifu ni kama mshahara.. fanya kazi ili uupate

Chorus:
Mimi na wewe.. tangu long time

Kabla ya hizi pesa kabla haijaja hii Fame
Cha ajabu haujabadilika na upo kwenye mainstream… BONGO HIPHOP X2


VERSE 3:
Mapenzi ya sikuhizi.. bila kugombana yanakua hayana stimu
Pia ni ruksa kushikana lakini sio kushikiana simu
Inanipa wazimu.. kusikia kimwana haujaachana na Hasheem
Na bado mnawasiliana..una mpango wa kuchanganya timu?
Nakupenda hiphop.. ndo maana ninarap ile mbaya
Naspit fire bila hennessy.. au kula kaya
I want my art to be my legacy.. kabla sijaretire.. waanze nigwaya hawa enemies.. anyways NI HAYO TU
Beef huletwa na wivu.. na wivu sio hiphop
 
Tatizo LA jamaa Hawa kuonekana hawaivi ni kwamba mmoja wao alibebwa au kukwezwa na mdau mkubwa Wa burudani kwa kumuangusha mwingine kipromosheni. Hii ilitokea wakati Jay Z alipofanya show bongo. Wadau Wa muziki na fitna zake watanielewa.
 
WIMBO: KILA SIKU BY FID Q

ah
So yule akili kisoda, nguvu contena,
huyu ni jeshi la mtu mmoja, ndo vile narudi tena
tangu nazaliwa, I claimed to be the best lyricist
hawataki beef, sasa wanataka publicity
kugonga copy, inabidi uwe hustlenormalist
usiogope mdosi, usiogope zake industrialpolitrix.
Gwiji ndo mi, the most dangerous MC Mwana'malundi!
So when the chief domcom, Im ready haina kwere
ugali nnaokula sio wa kengele, You gotta love it
or live it alone, Mistari yao siijui lakini ya kwangu ina flow
wanai'flow kwa moyo, inawakosha kwenye roho
oh, I push more rhymes like a Pimp pusher hoe!
Mi ndo Ngosha the don man, Rock city stand up
Im high like blue sky, the stars are laned up
bado nafanya mziki, jina linazidi kukua
so tu mashariki afrika dunia nzima inanijua
Fid Q ni Farid Ila sio Kila Farid ni Fid Q
Utajiri wa Mashairi naamini ni wangu mimi tu
so, if you too wanna compete, you, better be incredibly good
skiza hizi flow ujue hizi beats za Marco chali
zina'sound kama Hit so zinapo'hit ni kali
[Hook]
Mimi sijali
Ndo maana Kila siku na'fight
Mimi sijali
Ndo maana Kila siku na'fight
Verse: 2
Rapper gabachori inamuuma ushkaji sitaki
Huku nyangema mbeba vyuma anajaribu kuwa 2Pac
Leo ndo iwe Kesho you're already barred yesterday
unataka kuwa the Next Notorius cause BIG is dead
Im here to preach, teach, Motivate and Entertain
Maasai huniita, Alagana! opaki te
Mashairi yanawapiga ka Bruce lee au Jacky Chain
Nafanya dharau iniheshimu, see im lucky man!
Fid Q sio Jina tu ni Bidhaa kama Pepsi
Ni zaidi ya hivi vina uvisikiavyo kwa kila verse
For gods sake! wadau husema na'https://jamii.app/JFUserGuide our endorsement
Benevolent, man Rhymes tamu zaidi ya Hot cake
Nahitaji shade sababu future iko so bright
Najua industry's crazy good career is the doughless
Ngosha nipo Conscious nipo nipo kama FA
Everyday Nipo focused na HipHop so hey baby
its alright, its okay, jing'ate pua yako kama unaweza vyote
kama mziki ni kitanda kidogo ntalala katikati
vijiwe vya sikuhizi havichangamki bila ya kujisachi
[Hook]
Mimi sijali
Ndo maana Kila siku na'fight
Mimi sijali
Ndo maana Kila siku na'fight


Mnaomu-underate fid Q someni vizuri mashairi ya huyu mtu, na hamtakaa mlete tena mada ya kitoto kama hii
 
Frankly, about 90% of Hops are moronic and emotional driven people. Now, a Hop and a Tanzanian...very baad combination.

Anyway, this is more like Notorious B.I.G(Joh) vs Nas(Fid) at some point in the East. Lotta similarities. No beef, just competition.

Who's tight? That's subjective. But let me remind y'all what Jay-Z once said

If skills sold, truth be told/
I'd probably be, lyrically Talib Kweli/
Truthfully, I wanted to rhyme like Common Sense../
But I did 5 mil, I ain't be rhymin' like Common Sense/
When you and sense got that much in common, and you've been hustlin' since/
Your inception..fcuk perception, go with what makes sense/


So what makes sense? Units make sense. Now, who's moving more units(numbers)....go figure.
 
Vigezo vinavyotumiwa na wadau wa burudani duniani vitano tu,
1...Endorsements rappers had clinched
2...their impact on youth culture
3...sales
4...lyrical content
5...style as well as branding and business savvy

You already know what it is, Mwamba wa kaskazini oooy... Case closed...!!
 
Vigezo vinavyotumiwa na wadau wa burudani duniani vitano tu,
1...Endorsements rappers had clinched
2...their impact on youth culture
3...sales
4...lyrical content
5...style as well as branding and business savvy

You already know what it is, Mwamba wa kaskazini oooy... Case closed...!!
Mkuu unamaanisha kua lyrical content za joh makini ni kali kuliko za fid? Huwezi kua serious hata kidogo.
 
joh makini ndio anafanya vizuri kama tukiwainganisha kwa kuanagalia market, ila kwa hip hop ni Fid Q hili wala sio swala la mjadala hata kidogo, napenda miziki ya Joh na mimi ni mtu wa Arusha ila nakiri fid Q ndio mfalme wa Hip Hop
joh hawezi kuandika mashairi kama haya

 
Fid anamiliki namba 4 tu hapo, lyrical content... Vigezo vingine anakimbizwa sana tu...!!
Kwa mimi fid anamiliki pia namba 2, sababu mashairi yake huwa yananifundisha mengi sana na yana impact kubwa tu katika culture yangu na maisha yangu kwa ujumla
 
Elimu ya Fid ni kwa ngazi gani
fid ana elimu sanaa aisee, inawezekana labda kdato hajaenda kihivyo ila saa nyingine kidato haki reflect 'elimu halisi' aliyonayo mtu... elimu halisi inapimwa kwa kuangalia content anayotoa mtu na kwa hili fid yupo juu zaidi ya joh
 
Sasa watoto mliozaliwa juzi mna matatizo...unamuita Fid Q Legend? Balozi dollar Soul aitwe vipi? Fid Q hajawahi kuuza mziki wake kama anavyofanya Joh Makini... kama unakwenda club, angalia watu wangapi wanaimba nyimbo za Joh na Fid Q...Fid ain't a shit Legend, just a looser who lost navigation compass.
 
I have to admit kua mziki wa joh makini una ladha flani amazing sana yani, na huwa siachi kumskiliza pale nnapohitaji kuskia flow zenye ladha na tamu maskioni mwangu. Ila linapokuaja suala la mashairi fid Q hafananishwi maana yuko level ya juu mno, na huwa siachi kurudia ngoma zake pindi nnapotaka kuskiliza mashairi mazuri.
Kwa mimi mziki wa joh makini ni chakula na kiburudisho cha maskio yangu, ila mziki na mashairi ya Fid Q ni chakula cha ubongo wangu na akili yangu
 
Fid Q zamani hizo,sasa hivi ni zamu ya Mwamba wa Kaskazini Joh....
Fid atabaki na heshima yake tu,ila kimafanikio anakalishwa vibaya na Joh.
Binafsi ni mshabiki mkubwa wa wote hao,Ila Fid Q ni mkongwe aliyekuwa rigid kubadilika ki mistari na soko,Ana elimu nzuri ndani ya content zake....Kwa sasa Joh Makini ni brand kubwa sana,anaingiza kipato na managing yake ina mmarket vizuri...FID na MAKINI hawana bifu,MASHABIKI WAO NDIO WANAO TAKA KUMTAFUTA MKALI
 
Ivi watanzania tumelogwa? Tume laaniwa au vipi????
Kwani hao wote si wanafanya kazi zinazo endana??? Sasa ngumu na nyepesi ndo nn?!?! Au sijui misingi ya rap ...ndo nn?!?!? Mbona hao wajuzi wa misingi atuoni kazi zao?

Wote watanzania lkn eti anatufutwa alie bora!?!? Kwann wasitiwe moyo wote wasonge mbele??? Ndo mana wengine wamesifiwa mwishowe wakapotea jumla uku wakijiona bado wapo.

Ata ivyo wote atuwezi kumpenda Fid au Joh.... Lakini isije kua sababu ya kumshusha yoyote kati yao... Waachwe wafanye kazi zao.. Kwanza ni juhudi zao binafsi ...... Wachonganishi mnaelewa lkn amtendi.. Wenywewe ndo watendaji badala ya kuwashauri na kuwapa moyo mnakaa kuwakosoa
 
Tatizo vyanzo vyako vya kupata data ndo huwa vinanvunja mbavu hapa nacheka ujue....
bro ni kweli joh makini anafanya vizuri commercially kuliko fid q, lakini msanii kama fid q kumpata ni ngumu sanaa..wakina joh they come and go
 
Kuna challenge kubwa sana kwa wasanii wa Hip Hop wa Tanzania,kwa sasa ni kama hakuna anayefanya Hip Hop.Ni ngumu msanii wa Hip Hop unakaa miaka 3-5 hujatoa album au mixtape.Wasanii wa bongo fleva walipogoma kutoa album na hao wanajiita Hip Hop wakasusa wanasingizia kuwa album hailipi.Wasanii wa Kenya kama Rabbit,Octopizo & Khaligraph hawa wanaendelea kutoa album/mixtape while hawa wa kwetu wanatoa single moja kwa mwaka na wanafanya collabo moja ajabu still kuna watu wanapoteza muda kubishana hapa.Kwa mtazamo wangu Wakazi amekuwa msanii wa Hip Hop active kuliko hao wengine
Mkuu unaongea kwa kujiamini utazani kweli vile eti wasanii wa bongo hawatoi kanda wala kanda mseto??
Acha uongo, embu angalia hawa jamaa uone wametoa kanda ama kanda mseto lini
Nikki mbishi
Nash mc
Zaiid
P the mc
One
Afu ukishajua wametoa lini hizo kanda mseto ndo uje uweke bandiko lako hapa
 
Vigezo vinavyotumiwa na wadau wa burudani duniani vitano tu,
1...Endorsements rappers had clinched
2...their impact on youth culture
3...sales
4...lyrical content
5...style as well as branding and business savvy

You already know what it is, Mwamba wa kaskazini oooy... Case closed...!!
Naona umeamua kuja na vigezo vyenu hapo nimekuelewa
Maana umesema ni vya burudani ila hapa tunatafta vigezo vinavyomfanya mtu tuseme anasimama katika hip hop hivyo ulivyovitaja hata sheta mdananda anavyo
Muda mwingine kuwa makini
 
Back
Top Bottom