Kiukwel stamina anaandika ugoro tu yaan eti nae anajiita mc!!! Yaani anapojifananisha na mkali Fid anakosea sanaMkuu hebu acha masihara, Stamina anaandika nini.? Mistari ya kuunga unga [emoji1] [emoji1] [emoji1] hiyo sio HipHop.
Nyimbo aliwahi kuiandika vizuri ni Kabwela tu.
Update your preferencesUnaweza ku-list hizo album/mixtape na miaka ambayo wame-release hizo album kwa hao wasanii uliowataja?
ktk track 20 za joh moja ndo inaweza kua real Hip Hopfak yaaa..... Mwamba atabaki kuwa MWAMBA..
... itafute track yake yaitwa MUDA ....utansomaa.
pancho ni mwamba ila anakata viuno...Roma mkatolikiFid Q zamani hizo,sasa hivi ni zamu ya Mwamba wa Kaskazini Joh....
Fid atabaki na heshima yake tu,ila kimafanikio anakalishwa vibaya na Joh.
Unataka vita na wachuga wwpancho ni mwamba ila anakata viuno...Roma mkatoliki
wanawake wa dar vs wanaume wa dar,kazi mnayoWewe unayejua sema basi.
Mtafute mtu anaitwa MAALIM NASHKwa mtu anaye ifahamu vizur hiphop hawez mshndanisha fidQ Na mtu yeyote hapa bongo,nashndwa kuelewa mnatumia vigezo gan kuwaweka hawa watu pamoja,mnaozifaham vizur ngozo za hiphop hamto nipinga..!!
Mkuu tafta hizi albam
Njiani by songa-released this year
Mwenge kiwalani (kandamseto)- p the mc n zaiid hii imetoka mwaka jana mwez wa kumi na mbili
Mount uruguru ya stamina hii imetoka mwaka huu.
At last kuna mtu amejua huyu Jamaa ni corny... Lile goma lilikua disi ya LL COOL J. Na fid alifanya kutafsiri mashahiri,hata ile ngoma ya Nasir Jones "I made you look" kaiba mashahiri kule.Kama nimekusoma vile. Fid nilikuwa namuheshimu long way back. Lakini niliposikia mstari wa ''nipe heshima yangu au niichukue kwa nguvu'' kwenye ngoma yake ya Mwanza mwanza kama sikosei. Hapo ndipo nilianza kumdharau Fid. Mstari huo ni wa Canibus way back kwenye ngoma yake 2nd round knockout. Nikajiuliza huo ni mstari ambao naujua. Je kuna mistari mingapi ambayo siijui. Baadae nilisikia mistari yake mingine toka kwa Kanye. Ila anajitahidi na amejaliwa sauti ya Hip hop kamili.
Hakuna mwenye punchlines kati ya hao wawili.... Man fongo mwenyewe kawazidi.Haya tuanze kutupia mistari konzi ya kila mmoja tuone nani mshindi