Bifu ya Fid Q na Joh Makini

Bifu ya Fid Q na Joh Makini

Je, utaendelea kunibana kama kizibo cha soda

Kushuka ngazi tu unahema je kuzipanda hupatwi woga?

Ngosha the don
 
Mwingine anakurupuka ananiiga anasema sifai

Nasikia vibaya kumjibu maana ni sawa na kutupa mawe juu ya mayai

Ngosha the don
 
Joh Makini kwangu sijawahi mkubali kabisa kama Mcee kwenye utamaduni wa Hip Hop siku zote naona mlengo wake uko tofauti kabisa mostly ana rap kwa ajili yake ni kati Mceez ambao wanaikimbia hip hop cycle ila heshima yangu kwake ni vile amekomaa na kusimamia kile anacho kiamini bila kujali wengine wanamchukuliaje kwa hili nakubali kumpa heshima na kwa mwendo huo anatoboa kwenda mbele.
Fid Q hata akiacha ku-rap leo kwangu ameacha positive mark kwenye hip hop na haziwezi kufutika kizazi hadi kizazi jamaa ni best hip hop Mcee muziki wake ni darasa tosha ana lyrics zenye kila aina ya mafunzo pia yuko na flow sahihi ingawa kwenye walk it off sijamuelewa nahisi soko limemfanya ame-panick Ngosha anataka kufanya vile wengine wanafanya naamini akirudi tena hawezi kufanya nyepesi kama hii.
 
Mkuu hebu acha masihara, Stamina anaandika nini.? Mistari ya kuunga unga [emoji1] [emoji1] [emoji1] hiyo sio HipHop.
Nyimbo aliwahi kuiandika vizuri ni Kabwela tu.
Kiukwel stamina anaandika ugoro tu yaan eti nae anajiita mc!!! Yaani anapojifananisha na mkali Fid anakosea sana
 
Fid ana uwezo mkubwa ttzo lake anajickia sana hapendi kubadilika hashauriki in short mjuaji
 
Fid Q zamani hizo,sasa hivi ni zamu ya Mwamba wa Kaskazini Joh....
Fid atabaki na heshima yake tu,ila kimafanikio anakalishwa vibaya na Joh.
pancho ni mwamba ila anakata viuno...Roma mkatoliki
 
Hawana ugomvi wowote ni maraia ndo mnatengeneza haya mambo. Mbona kuna day walikua pamoja mwaka huu wakipiga soga pamoja pande za Sinza Vibe.
 
Mleta mada unalinganisha watu ambao wanafanya vitu tofauti. .

FidQ ndio anafanya hiphop, some old school shit

Ila JohMakini is wack, anafanya commercial zaidi, which is good sababu anaflow na trend inavyotaka, so some cash in the pocket kwa sana
 
Kwa mtu anaye ifahamu vizur hiphop hawez mshndanisha fidQ Na mtu yeyote hapa bongo,nashndwa kuelewa mnatumia vigezo gan kuwaweka hawa watu pamoja,mnaozifaham vizur ngozo za hiphop hamto nipinga..!!
 
Kwa mtu anaye ifahamu vizur hiphop hawez mshndanisha fidQ Na mtu yeyote hapa bongo,nashndwa kuelewa mnatumia vigezo gan kuwaweka hawa watu pamoja,mnaozifaham vizur ngozo za hiphop hamto nipinga..!!
Mtafute mtu anaitwa MAALIM NASH

utaelewa nn maana ya hip hop
 
Mkuu tafta hizi albam
Njiani by songa-released this year
Mwenge kiwalani (kandamseto)- p the mc n zaiid hii imetoka mwaka jana mwez wa kumi na mbili
Mount uruguru ya stamina hii imetoka mwaka huu.

Naongezea ya, nikki mbishi UFUNUO WA UNJU BIN UNUQ
 
Kama nimekusoma vile. Fid nilikuwa namuheshimu long way back. Lakini niliposikia mstari wa ''nipe heshima yangu au niichukue kwa nguvu'' kwenye ngoma yake ya Mwanza mwanza kama sikosei. Hapo ndipo nilianza kumdharau Fid. Mstari huo ni wa Canibus way back kwenye ngoma yake 2nd round knockout. Nikajiuliza huo ni mstari ambao naujua. Je kuna mistari mingapi ambayo siijui. Baadae nilisikia mistari yake mingine toka kwa Kanye. Ila anajitahidi na amejaliwa sauti ya Hip hop kamili.
At last kuna mtu amejua huyu Jamaa ni corny... Lile goma lilikua disi ya LL COOL J. Na fid alifanya kutafsiri mashahiri,hata ile ngoma ya Nasir Jones "I made you look" kaiba mashahiri kule.
Sasa wanapo kuja watu ambao sio wafuatiliaji wanamwona kichwa.
 
Back
Top Bottom