Wewe unayejua sema basi.Watu mnajifanya mnajua kumbe u know nothing.
Kwan ww ni nan ?? Had useme huwa hupend kusemaNaam,hapahapa ndipo nilipokuwa napasubiri.....
Na huyo Fid marioo anayelelewa na wanawake je?
Hili jambo huwa sipendi kulisema kwa heshima ya Fid ila mapopoma kama nyie ndio mnasababisha niseme.
ah! unataka ubishi?Joe hana nyimbo ngumu bhana, sio kila rap ni hip hop
Akili zako inaonekana ndogo mithili ya chembe ya sukari ndio maana unakurupuka kujib usichoulizwa....anyway sikuhitaj kujua jina lako..bt pia jf ni jamvi pana lenye dhahabu juu yake na ndeme!Mimi ni Nifah
Umeona sasa?Nisingesema nisingeulizwa maswali ya kijinga hivi.
Fid Q zamani hizo,sasa hivi ni zamu ya Mwamba wa Kaskazini Joh....
Fid atabaki na heshima yake tu,ila kimafanikio anakalishwa vibaya na Joh.
Lazima tukubali kuwa nyakati zimebadilika. Fid ni legend, haina ubishi ila kwa sasa ktk kufunikwa kafunikwa kisawa sawa na Joh Makini, atafute ujio mpya!Ni taahira tu ndo atamfananisha Fid Q na Joh in terms of music ....Fid anafanya hip hop ya ukweli....Nikikuuliza Joh kazungumzia nini verse ya kwanza ya dont bother sijui utajibu nini...Fid ukisikiliza mashairi yake unaona kuwa jamaa ana IQ kubwa sana......
Na mimi nimeliona hiloMmeanza kutengeneza ugomvi
Kamfunika in terms of what?....Fid ni mtu anayesimamia Hip hop...Hip hop haibadiliki kwa zama...Joh ni rapper na mziki wake ni biashara ndo mana usishangae kesho akitoka na charanga...Haitakuwa heshima kuwafananisha hawa wawili..Ni kumkosea adabu Fid Q......Wapo wadau wa hip hop...So sio lazima abadilishe mfumo ili aendane na watoto wa sasa wasiopenda hip hpLazima tukubali kuwa nyakati zimebadilika. Fid ni legend, haina ubishi ila kwa sasa ktk kufunikwa kafunikwa kisawa sawa na Joh Makini, atafute ujio mpya!
Ndio maana nimesema fid ni legend, ila makini kamfunika! Kamfunika wapi, umesema mwenyewe hapo juu!Kamfunika in terms of what?....Fid ni mtu anayesimamia Hip hop...Hip hop haibadiliki kwa zama...Joh ni rapper na mziki wake ni biashara ndo mana usishangae kesho akitoka na charanga...Haitakuwa heshima kuwafananisha hawa wawili..Ni kumkosea adabu Fid Q......Wapo wadau wa hip hop...So sio lazima abadilishe mfumo ili aendane na watoto wa sasa wasiopenda hip hp
Si kila mtu anapenda ujumbe katika muziki, kazi kuu za fasihi kuburudisha na kuelimisha, anachofanya Joh ni burudani hasa jinsi anavyowasilisha kazi yake (rejea fani na maudhui) ,japo sipendi mziki kwa sasa lakini Joh naweza msikiliza mara mbili.Muziki kwangu ni burudani na style ndio akina Jay Z wamefanya vizuri kwa muda mrefu sana
NdioooWewe ni mwanaume wa Darisalama kwani?