Bifu ya Fid Q na Joh Makini

Bifu ya Fid Q na Joh Makini

Naam,hapahapa ndipo nilipokuwa napasubiri.....
Na huyo Fid marioo anayelelewa na wanawake je?
Hili jambo huwa sipendi kulisema kwa heshima ya Fid ila mapopoma kama nyie ndio mnasababisha niseme.
Kwan ww ni nan ?? Had useme huwa hupend kusema
 
Ni taahira tu ndo atamfananisha Fid Q na Joh in terms of music ....Fid anafanya hip hop ya ukweli....Nikikuuliza Joh kazungumzia nini verse ya kwanza ya dont bother sijui utajibu nini...Fid ukisikiliza mashairi yake unaona kuwa jamaa ana IQ kubwa sana......
 
Fid Q zamani hizo,sasa hivi ni zamu ya Mwamba wa Kaskazini Joh....
Fid atabaki na heshima yake tu,ila kimafanikio anakalishwa vibaya na Joh.

Sidhani kama unauelewa mziki mkuu

Joh na Fid wanafanya vitu tofauti kila mtu na njia zake huwezi kuwapambanisha

Nimepata shaka juu ya uwelewa wako wa music samahan lakini
 
Ni taahira tu ndo atamfananisha Fid Q na Joh in terms of music ....Fid anafanya hip hop ya ukweli....Nikikuuliza Joh kazungumzia nini verse ya kwanza ya dont bother sijui utajibu nini...Fid ukisikiliza mashairi yake unaona kuwa jamaa ana IQ kubwa sana......
Lazima tukubali kuwa nyakati zimebadilika. Fid ni legend, haina ubishi ila kwa sasa ktk kufunikwa kafunikwa kisawa sawa na Joh Makini, atafute ujio mpya!
 
Si kila mtu anapenda ujumbe katika muziki, kazi kuu za fasihi kuburudisha na kuelimisha, anachofanya Joh ni burudani hasa jinsi anavyowasilisha kazi yake (rejea fani na maudhui) ,japo sipendi mziki kwa sasa lakini Joh naweza msikiliza mara mbili.Muziki kwangu ni burudani na style ndio akina Jay Z wamefanya vizuri kwa muda mrefu sana
 
Hivi wanamuziki lazima wagombane ndio umaarufu uongezeke ama?
 
Lazima tukubali kuwa nyakati zimebadilika. Fid ni legend, haina ubishi ila kwa sasa ktk kufunikwa kafunikwa kisawa sawa na Joh Makini, atafute ujio mpya!
Kamfunika in terms of what?....Fid ni mtu anayesimamia Hip hop...Hip hop haibadiliki kwa zama...Joh ni rapper na mziki wake ni biashara ndo mana usishangae kesho akitoka na charanga...Haitakuwa heshima kuwafananisha hawa wawili..Ni kumkosea adabu Fid Q......Wapo wadau wa hip hop...So sio lazima abadilishe mfumo ili aendane na watoto wa sasa wasiopenda hip hp
 
Ndio maana nimesema fid ni legend, ila makini kamfunika! Kamfunika wapi, umesema mwenyewe hapo juu!
 
Si kila mtu anapenda ujumbe katika muziki, kazi kuu za fasihi kuburudisha na kuelimisha, anachofanya Joh ni burudani hasa jinsi anavyowasilisha kazi yake (rejea fani na maudhui) ,japo sipendi mziki kwa sasa lakini Joh naweza msikiliza mara mbili.Muziki kwangu ni burudani na style ndio akina Jay Z wamefanya vizuri kwa muda mrefu sana

You may be right...But wapo wadau wa hip hop wenye kuamini katika hip hop...Na hip hop ni ujumbe...Hip hop ni mashairi...Hawa wanafanya vitu viwili tofauti....Na ndio maana watu wa hip hop wanapambanishwa kwa freestyle au kuchana bila biti....Hapo ndo utajua tofauti ya Hip hop na Rap..Na hutawafananisha hawa wawili
 
Back
Top Bottom