Bifu ya Fid Q na Joh Makini

Katika decade hii ya sasa muziki unaanzia club kuhit! Kwa maana hiyo Joh yuko juu kwa sasa, watu hawataki tena kusikia habari za mistari inayoumiza kichwa!
 
Mtu kama unasoma sana vitabu fid Q ana jipya ila kama wewe ni mvivu kusoma utasema mkali tunaandika atukopy kwenye vitabu
 
Kwa muendelezo huu tusishangae watu kuwapambanisha Stamina na Mzee yusuph na kusema Mzee yusuf anamfunika Stamina
Usitake kutuaminisha uongo hapa, category ya Joh Makini na Fid Q ni moja, isipokuwa style yao ni tofauti!
WATU SIO WAJINGA KUMLINGANISHA MAKINI NA FID, genre moja! Unataka kuniambia 50 cent na Nas ni genre tofauti? Ni genre moja isipokuwa style ya kuflow na mashairi yao yako tofauti, mmoja kaamua kuimba nyimbo za good time, mwingine za msoto wa maisha!
Taarab na bongofalava wapi na wapi?
 
Joh anafanya biashara na mawingu ukijumlisha na presenter wengi wa vipindi vya mchana wanatoka chuga so joh anapata sana airtime ila km ni hip hop joh hata kwa jay moe hafati
Mkuu unamtaja jay mo gani kumlinganisha na joh?? Yule mr famous??
Usimlinganishe mo tech na vitu vya ajabu ajabu mzee usije niharibia siku yangu bure
 

Ndo mana nikakuuliza unatumia kipimogani kuwapambanisha?...Kama ni mafanikio ya kimuziki kwa nini tushindwe kutumia kigezo hiki kwa genre tofauti....Unamlinganisha in terms of what?
 
Sion beef....
Fid ni Mc, Joe ni rapper
we mkuu vp, kwani hapo kinazuia nin kuwa na beef, beef la wanamuziki linaweza kuwa na vyanzo vingi sio mpka wawe kwenye muziki wa aina moja.
 
mtoa mada ni mwanaume wa dar... ndo nyie mnaokesha kumzungumzia wema Ali kiba na diamond pumbaaafu
wewe wa mkoani utakua ni mbayuwayu, kwa kua wanaume wa dar wakileta mada wewe unaishia kuzisoma na kusikiliza.. kama ungekua serious wewe wa mkoani fanya kazi zako achana na haya majukwaa ya wanaume wa dar, wewe utakua ni pimbi zaidi (au una umbea wa kike) coz unaishia kusikiliza umbea wa wanaume wa dar badala ya kufanya kazi zako..
 
Mkuu unamtaja jay mo gani kumlinganisha na joh?? Yule mr famous??
Usimlinganishe mo tech na vitu vya ajabu ajabu mzee usije niharibia siku yangu bure
Sasa na wewe unamleta Moe wa nini hapa. their era is gone....the style changes with time. Wameshindwa ku keep up to modern style.

sasa unataka waendelee vp dumu ktk game. Moe kajaribu rudi kashindwa...likewise fid. Sasa unataka tuaminisha nini???
 
Sasa na wewe unamleta Moe wa nini hapa. their era is gone....the style changes with time. Wameshindwa ku keep up to modern style.

sasa unataka waendelee vp dumu ktk game. Moe kajaribu rudi kashindwa...likewise fid. Sasa unataka tuaminisha nini???
Kwani Fid Q alienda wapi hadi useme kashindwa kurudi.?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…