Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio maana nimesema fid ni legend, ila makini kamfunika! Kamfunika wapi, umesema mwenyewe hapo juu!
halafu wewe wa mkoani unakesha kukisomamtoa mada ni mwanaume wa dar... ndo nyie mnaokesha kumzungumzia wema Ali kiba na diamond pumbaaafu
Mtu kama unasoma sana vitabu fid Q ana jipya ila kama wewe ni mvivu kusoma utasema mkali tunaandika atukopy kwenye vitabuKamfunika in terms of what?....Fid ni mtu anayesimamia Hip hop...Hip hop haibadiliki kwa zama...Joh ni rapper na mziki wake ni biashara ndo mana usishangae kesho akitoka na charanga...Haitakuwa heshima kuwafananisha hawa wawili..Ni kumkosea adabu Fid Q......Wapo wadau wa hip hop...So sio lazima abadilishe mfumo ili aendane na watoto wa sasa wasiopenda hip hp
Usitake kutuaminisha uongo hapa, category ya Joh Makini na Fid Q ni moja, isipokuwa style yao ni tofauti!Kwa muendelezo huu tusishangae watu kuwapambanisha Stamina na Mzee yusuph na kusema Mzee yusuf anamfunika Stamina
Mkuu unamtaja jay mo gani kumlinganisha na joh?? Yule mr famous??Joh anafanya biashara na mawingu ukijumlisha na presenter wengi wa vipindi vya mchana wanatoka chuga so joh anapata sana airtime ila km ni hip hop joh hata kwa jay moe hafati
Usitake kutuaminisha uongo hapa, category ya Joh Makini na Fid Q ni moja, isipokuwa style yao ni tofauti!
WATU SIO WAJINGA KUMLINGANISHA MAKINI NA FID, genre moja! Unataka kuniambia 50 cent na Nas ni genre tofauti? Ni genre moja isipokuwa style ya kuflow na mashairi yao yako tofauti, mmoja kaamua kuimba nyimbo za good time, mwingine za msoto wa maisha!
Taarab na bongofalava wapi na wapi?
we mkuu vp, kwani hapo kinazuia nin kuwa na beef, beef la wanamuziki linaweza kuwa na vyanzo vingi sio mpka wawe kwenye muziki wa aina moja.Sion beef....
Fid ni Mc, Joe ni rapper
wewe wa mkoani utakua ni mbayuwayu, kwa kua wanaume wa dar wakileta mada wewe unaishia kuzisoma na kusikiliza.. kama ungekua serious wewe wa mkoani fanya kazi zako achana na haya majukwaa ya wanaume wa dar, wewe utakua ni pimbi zaidi (au una umbea wa kike) coz unaishia kusikiliza umbea wa wanaume wa dar badala ya kufanya kazi zako..mtoa mada ni mwanaume wa dar... ndo nyie mnaokesha kumzungumzia wema Ali kiba na diamond pumbaaafu
Sasa na wewe unamleta Moe wa nini hapa. their era is gone....the style changes with time. Wameshindwa ku keep up to modern style.Mkuu unamtaja jay mo gani kumlinganisha na joh?? Yule mr famous??
Usimlinganishe mo tech na vitu vya ajabu ajabu mzee usije niharibia siku yangu bure
amekosa heshima wacha kumfananisha jay mo vitu vya kipumbavuuMkuu unamtaja jay mo gani kumlinganisha na joh?? Yule mr famous??
Usimlinganishe mo tech na vitu vya ajabu ajabu mzee usije niharibia siku yangu bure
wew wacha kumfananisha jay mo na vitu vya kipumbavu wwSasa na wewe unamleta Moe wa nini hapa. their era is gone....the style changes with time. Wameshindwa ku keep up to modern style.
sasa unataka waendelee vp dumu ktk game. Moe kajaribu rudi kashindwa...likewise fid. Sasa unataka tuaminisha nini???
Kwenye huu Uzi ulifata nini?mtoa mada ni mwanaume wa dar... ndo nyie mnaokesha kumzungumzia wema Ali kiba na diamond pumbaaafu
Kwani Fid Q alienda wapi hadi useme kashindwa kurudi.?Sasa na wewe unamleta Moe wa nini hapa. their era is gone....the style changes with time. Wameshindwa ku keep up to modern style.
sasa unataka waendelee vp dumu ktk game. Moe kajaribu rudi kashindwa...likewise fid. Sasa unataka tuaminisha nini???