mr gentleman
JF-Expert Member
- Aug 1, 2012
- 3,222
- 4,689
Mkuu, nchi hii, baada ya Prof J, msanii mwingine aliyeleta mapinduzi ni Joh Makini.. Fid Q anafanya hip hop ngumu sana, ambayo inaeleweka na kundi flani la machizi/masela wa kitaa. Ila Joh Makini anafanya Hip hop inayokubaliwa na watu wa rika zote....!
Joh makini kaleta mapinduzi gani? Niambie anafanya nini kipya kwenye game?