Bifu ya Fid Q na Joh Makini


Joh makini kaleta mapinduzi gani? Niambie anafanya nini kipya kwenye game?
 
Dah kweli wewe inabidi ufundishwe maana ya hip hop yaani hapa tunaongelea nani anafanya real hip hop we unaanza kusema joh kapiga show nyingi. Na hip hop haipimwi kwa show na tuzo maana haviko kwenye misingi ile mitano ya zamani na hata hii nane ya sasa ya hip hop. Hip hop ina nguzo zake na kama hip hop ingekua hivyo ulivyoandika hapa nani angemjua mos def, nani angemjua krs one, nani angemjua rakim, nani angemjua andre3000, immortal technique na wengine kibao maana hutakaa ukawasikia kwa media hata siku moja na ni real mcs.
Dah yaani kuna umuhimu wa kuanzisha cyphers kwa ajili ya watu kujifunza hip hop ni nini.
Kwa kukusaidia tuu tafta hivi vitabu af uvisome.
The science of rap
The gospel of hip hop
Chuo kikuu cha hip hop.
Nazani vitakuonesha njia atleast ya hip hop ni nini.
 
Sidhan km nna muda wa ku argue na mtu mwenye jinsia mbili... Unaanza lini MP?..Kubleed yan kuna pad mpya demu wangu anatumia naw nkuletee hahahaaaa#my last comment to u.
Usipojibu umeogopa na ukinijibu we ni mke wangu.
 
Fact.. Seems u knw much abt hiphop this is beyond th truth na ukitaka kujua anagalia Joh mashabik wake wengi ni wadada na mayoyoo.
Uko sahihi 100% but mi Fid q namkubali sana.
 
Kama wao hawakubali wala kukanusha kuwepo bifu baina yao, vipi wewe unatuleteaje umbeya?. Hata hivyo, ili HIP HOP ipande lazima mabifu ya kichina yatengenezwe.
 
Mkuu hayo mambo hayo haya apply kwenye generation hii ndio maana mkiulizwaga hipHop ni kutaja sijui kina Krs One sijui nan huo ulimwengu wa zaman huko we ain't care about imebaki history " hata Fid ukicompare na hipHop ya zaman angeonekana mchumba tu basi tuseme Hip Hop imekufa maana hata huko ilipotokea wameipotezea now wanafanya Hip Hop Biashara ambayo kwa hapa Bongo Joh hz the King. Sawa nina uelewa mdogo wa Hip Hop na sinahaja yakufukua kulearn vitu vya kale.
Nachojua Joh anatupa GoodMusic zaid ya Fid baaasi.
Hata ukimuuliza mtt wa darasa la kwanza Weusi ni nani anakutajia.
 
Mental slavery inakutafuna...... its sad...kulekule hiphop ilipoanzia wafanya commercial...wewe hadi leo na njaa zako wakomalia misingi.... MISINGIII.....Ipiii!!???? ujingaa...
 
Mental slavery inakutafuna...... its sad...kulekule hiphop ilipoanzia wafanya commercial...wewe hadi leo na njaa zako wakomalia misingi.... MISINGIII.....Ipiii!!???? ujingaa...
Haha inakera sana mtt wa miaka ya 90 anajidai anajua hiphop na misingi yake wakat walionza nayo huko kina Snoop Birdman wamechange" this is new world mofc
 
Mhuuuuuuu ,, wote wanafanya vzur
 
Hahahahaaaaaaa we sema anafanya muziki mzuri sawa ila siyo mwana hiphop mzur huko alishatoka huyu bwana kaingia kwa kina godzillah na gosy b...Fid atabak pale Joh had anaenda kaburini hatowaza wala kuota wala kufikiri kutengeneza ngoma kama "IAM PROFESSIONAL"
 
Mental slavery inakutafuna...... its sad...kulekule hiphop ilipoanzia wafanya commercial...wewe hadi leo na njaa zako wakomalia misingi.... MISINGIII.....Ipiii!!???? ujingaa...
Kawaskize akina common dogooo...we unamjua Drake hahahahaaa unachelewa
 
Na wala hatuhitaji sisi kama fans wake. Kitu haiuzi yann sasa ngoma ngumu kama hyo.
"[emoji444] Mchaga na mpare pesa ni jadi u can't separate [emoji444] haha" mziki pesa sio mziki ilimradi show mpaka uonewe uruma.
 
HIPHOP NI VILE UNAVYOISHI
RAP NI KILE UNACHOFANYA
SIKIO LA KUFA ZIBUKA,USIKIE HIZI DAWA itikia "Iam a professional"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…