Bifu ya Nikki Mbishi na P the MC

Ngoja nikaiskilize kwanzs.. tunataka vtu km hv.. sio ufala fala tu
 
itakua umezaliwa 2000 mkuu, huijui hip hop vzuri, misingi huru na historia yake
 
Wala hawajapatana, juzi tu walikuwa wameanza kurushiana maneno huko "twitani".
 
Ngoja mbishi nae atoe diss track ndipo turinganishe uzito sasa katoa p watu wanashabikia wamesahau makali ya nikk anaelewa Nay niupi moto wa mbishi
 
Nakubaliana na P Mawenge!

In short Nikki Mbishi unahitaji kujipanga upya uangalie game inavokwenda na uamue nini unataka kwenye muziki.
Get serious, game haitaki shit za kipuuzi.
Upuuzi kawaimbie wavuta bange kijiweni kwako.

Haya sasa wacha uyaone. Ngoma hii apa...
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nikki ameahidi kuingia studio huko.. sasa balaa la yule jamaa mi simooooooooooo
 
Unju atakuja Kitu moja matata sana Huyu P Mawenge atapigwa KO moja ya koromeo mpaka atapike Uji

Sent using Jamii Forums mobile app


Ngoja mbishi nae atoe diss track ndipo turinganishe uzito sasa katoa p watu wanashabikia wamesahau makali ya nikk anaelewa Nay niupi moto wa mbishi


In short Nikki kauwawa vibaya vibaya humu, sasa mkitwambia tusubiri mpaka ajibu ndio tuone ni hii diss track kali naona kama mnatuyeyusha.

Iko hivi, sasa hivi ni mbili bila, kama anaweza kujibu mapigo jukwaa lipo huru. Full stop.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…