FirstClass
JF-Expert Member
- Dec 29, 2016
- 1,100
- 1,363
Ngoja nikaiskilize kwanzs.. tunataka vtu km hv.. sio ufala fala tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
itakua umezaliwa 2000 mkuu, huijui hip hop vzuri, misingi huru na historia yake"Uwepo wangu kwao ni bonge la crisis,mzee wa kujilipua kama mfuasi wa ISIS.”
Na kweli unju anajilipuaga sana huyu mchizi...😂😂😂baizewei hiphop ya bongo siku sio nyingi itageuka kuwa na mahadhi ya taarabu kama wanahiphop wenyewe ndo hawa kupashana daily kweny track na social media nk...
NONSENSE
Kwenye hip hop hiyo ni kawaida kabisa.
Wala hawajapatana, juzi tu walikuwa wameanza kurushiana maneno huko "twitani".Nikweli mkuu huyu nikki karibia kila mtamaduni pale kaishawahi kuzinguana naye
Alishawahi kua na bifu na godzilla japo godzila naye alikua mtata kama yeye hasa katika ile bifu yake na wakazi. Miezi kadhaa iliyopita nikki alikorofishana na wakazi ila washapatana
Huu Ni uongoWatu hawajajua, ile beef ni trick inatumika kukuza au ku promote Vita ya Benghazi na album ya Welcome to Gambushi [emoji847]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mmmmh imezid sasa had inakera khaaaahKwenye hip hop hiyo ni kawaida kabisa.
Ney wa mitego by Nikki mbishiSijawahi kusikia dis track kali bongo kama hii. Correct me if I am wrong
Sent using Jamii Forums mobile app
Na hii ndo diss track bora kabisa kuwa kutokea Tz, ngoja nikaisilize hiyo ya P nitakuja kufuta kauli yangu au kuendelea na msimamo huu huuNey wa mitego by Nikki mbishi
Unju atakuja Kitu moja matata sana Huyu P Mawenge atapigwa KO moja ya koromeo mpaka atapike Uji
Sent using Jamii Forums mobile app
Ngoja mbishi nae atoe diss track ndipo turinganishe uzito sasa katoa p watu wanashabikia wamesahau makali ya nikk anaelewa Nay niupi moto wa mbishi