Nikki mbishi anabeef na mtu yoyote tu.
By the way beef hii nimeipenda watu wanaingia studio hawaishii kusutana twitter.
Beef za biashara kwenye mkito, booomplay, you tube nk ndiyo zinatakiwa.
Kwenye hii bifu nikkimbish kachukuliwa negatively coz ndo kawaida yake japo p the mc kamnyoosha ukchanganya na huruma yamashabiki ndokabisa yaaan ongeza now nawakazi kama kajiinclude ndan hapo bifu imekolea zaid
BEST DISS TRACK EVER IS WHERE MY CROWN AT
Ngoja mbishi nae atoe diss track ndipo turinganishe uzito sasa katoa p watu wanashabikia wamesahau makali ya nikk anaelewa Nay niupi moto wa mbishi
Unju atakuja Kitu moja matata sana Huyu P Mawenge atapigwa KO moja ya koromeo mpaka atapike Uji
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakubaliana na P Mawenge!
In short Nikki Mbishi unahitaji kujipanga upya uangalie game inavokwenda na uamue nini unataka kwenye muziki.
Get serious, game haitaki shit za kipuuzi.
Upuuzi kawaimbie wavuta bange kijiweni kwako.
Haya sasa wacha uyaone. Ngoma hii apa...
Sent using Jamii Forums mobile app
Yah sio wanastay home alafu wanalia-lia hakuna showsHakika! Watu wanasema kama haimeki hela basi haimeki sensi! Kwa hiyo mimi pia nimeipenda sana maana wana make hela sio maneno matupu tuu.....
Sent from my iPhone using Tapatalk
In short Nikki kauwawa vibaya vibaya humu, sasa mkitwambia tusubiri mpaka ajibu ndio tuone ni hii diss track kali naona kama mnatuyeyusha.
Iko hivi, sasa hivi ni mbili bila, kama anaweza kujibu mapigo jukwaa lipo huru. Full stop.
Kilichomkuta MGK hata P the MC kitamkuta pia. Acha tusubiri. By the way, hii kitu iko arranged na wamefanikiwa so far!
mkuu, diss ni ya P the MC na anaetakiwa kujibu ni Nikki Mbishi. Kuniuliza mimi eti nikki ataimba nini ni kuleta ubishani usio wa lazima. Tusubiri nikki mwenyewe ajibu ili tulinganishe. Tofauti na hapo, tutakua tunatoa hukumu kwa kusikiliza upande mmoja pekee.Kaeni mjipe moyo, lakini kwenye hii bifu Nikki ashamezwa mzima mzima aisee. Ataimba nini kujibu hii ngoma? Pamoja na michano lakini stori za humo ndani ni kweli tupu.
Tukiondoa hii biashara yao! P The Mc yupo vizuri, sijui Nikki anakwama wapi. Ilibidi hadi Zuzu (Nash Mc) naye ahusishwe.Kilichomkuta MGK hata P the MC kitamkuta pia. Acha tusubiri. By the way, hii kitu iko arranged na wamefanikiwa so far!
Sawa mie naenda usisahau mazagazaga ya kuweka kweny hvyo vyomboMama nenda kaoshe vyombo huko
mkuu, diss ni ya P the MC na anaetakiwa kujibu ni Nikki Mbishi. Kuniuliza mimi eti nikki ataimba nini ni kuleta ubishani usio wa lazima. Tusubiri nikki mwenyewe ajibu ili tulinganishe. Tofauti na hapo, tutakua tunatoa hukumu kwa kusikiliza upande mmoja pekee.
Nikki hawezi. Hanaga usireous anapoandika skuiz. Huez kumfananisha nikki wa Sauti ya Jogoo/Play boy na huyu wa sasa anaimba kama tejaWakuu habari zenu,
Kuna beef mpya Kati ya Nikki Mbishi na P the MC, bado sijajua chanzo hasa. Ila nimeona Twitter wakipeana madongo na Kuna Track P the MC kaachia inaitwa ‘Futi Sita’ akimdiss Nikki mbishi
By the way P amemchana sana Nikki nasubiria comeback ya Nikki Mbishi
One love