Leak
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 52,916
- 43,505
Nikki mbishi anabeef na mtu yoyote tu.
By the way beef hii nimeipenda watu wanaingia studio hawaishii kusutana twitter.
Beef za biashara kwenye mkito, booomplay, you tube nk ndiyo zinatakiwa.
Hakika! Watu wanasema kama haimeki hela basi haimeki sensi! Kwa hiyo mimi pia nimeipenda sana maana wana make hela sio maneno matupu tuu.....
Sent from my iPhone using Tapatalk