Alexander Lukashenko
JF-Expert Member
- Sep 9, 2017
- 4,140
- 9,667
Kwanini tuachane na harakati zake?tukiachana na harakati zake Nicki Mbish is the best
afu sio wote wanaoijua Dodo ya Alli kiba kama unaijua ww sio lazima na Nikki aijue
Hata P the Mc anajua kuwa Nikki is the best hiphop in Tz swala la kumchallenge ni sehem tu ya muzic
Nick was....the best bichwa likamvimba......kwa sasa hapana kiburi kimemponza.
Kaishiwa akubali tu, sio Nick yule niliyekuwa nikimshabikia mpaka watu kuniona chizi, huyu ni mpya mlevi.
Kuhusu Dodo nimemaanisha alijibu kidharau sana, kwamba Ali ni mtu mdogo hamjui kabisa.....hivi unaweza ukawa msanii na usiijue Dodo.....wewe utakuwa sio msanii.
Kusema Nick kaishiwa si maanishi kuwa P ndo kawa Best hapana......kabla hata ya Nick kuishiwa P alikuwepo na nilimfahamu akifanya vyema.