Bifu ya Nikki Mbishi na P the MC

tukiachana na harakati zake Nicki Mbish is the best
afu sio wote wanaoijua Dodo ya Alli kiba kama unaijua ww sio lazima na Nikki aijue
Hata P the Mc anajua kuwa Nikki is the best hiphop in Tz swala la kumchallenge ni sehem tu ya muzic
Kwanini tuachane na harakati zake?
Nick was....the best bichwa likamvimba......kwa sasa hapana kiburi kimemponza.
Kaishiwa akubali tu, sio Nick yule niliyekuwa nikimshabikia mpaka watu kuniona chizi, huyu ni mpya mlevi.
Kuhusu Dodo nimemaanisha alijibu kidharau sana, kwamba Ali ni mtu mdogo hamjui kabisa.....hivi unaweza ukawa msanii na usiijue Dodo.....wewe utakuwa sio msanii.
Kusema Nick kaishiwa si maanishi kuwa P ndo kawa Best hapana......kabla hata ya Nick kuishiwa P alikuwepo na nilimfahamu akifanya vyema.
 
Dharau za huyu boya zilianza muda sana, nakumbuka bda ya Bell 9 kufanya chorus ya ' Kila Siku ' Nikki aliwai kuulizwa, " Idea ya kumshirikisha Belle 9 ilikuwaje" jamaa akajibu ' Sikuwa namfaham Bell 9, ni producer ndio alifanya mawasiliano na Belle, mimi niliacha verse na ngoma ilikuwa iende bila chorus, Na hapo Belle9 alikuwa ashaachia mangoma makali makali mengi tu... sas kwa majb hayo, mchz alijisikiaje
 
Tunachakujifunza kutoka kwa huyu jamaa kwamba kiburi.....kinaweza kukuponza.....ukaharibu kila kitu.
 
Hao wote ni chenga tu hawana lolote,kuzifikia level za the late Ngweah,King Zilla,GeezMabov na teja mstaafu Chid benz bado sanaaa
 
Sielewi mnachosifia humu, jamaa anafosi vina na kingereza cha kuunga unga tu, yaani mara kumi niskilize distrack ya rado kwa fid (usiulize) lakini sio hii, inshot mbayaaa
 
Mi mwenyewe siijui hiyo dodo ya alikiba mkuu,sasa utalazimisha niijue?acha ujinga...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe mtoto wa KOLO, yaani mwanangu mimi KOLO (you can imagine me and your mom..) achana na mimi, huyo P Wenge unasema kaanza mziki zamani lakini hamna kazi ya maana aliyofanya

Hizo ngoma zake ambazo unataja nazifahamu, ni nzuri za watani, tatizo lina kuja unapomfananisha na Mbishi. Unafananishaje madini ya Dhahabu na Ulanga mwanangu mtoto wa KOLO? Are in right state of your mind?

Hizo track zake alizofanya huwezi kufananisha hata nusu ya track alizotoa mbishi

Kumfunika mtu aliye kwenye avatar yako ndio amekuwa msanii bora? This is Nonsense of First Class

Ngoma za Nick Kama Namuona, Play Boy, I'm Sory JK, Sama Goal, Buni Mbinu, image, Nyakati, Jogoo, Malimwengu, Nimezama, Kila Siku na ngoma nyingine kibao unafananisha na ngoma za huyo sijui nani vile, you can't be serious mtoto wa KOLO

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha wivu wa kike wewe mtoto wa KOLO

Una chuki binafsi juu ya Nick

Kutompenda mtu haimaanishi ni mbovu kwenye kitu anachofanya
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Karibia mwaka wa 6 namfahamu nicki,p the mc amesikika tu kwa ajili ya huu wimbo wake ,na bila kumdiss nicki asingesikika ,watu wanaotoa hit ndo wanasikika huyu p the mc wengi ndo wanamjua kwa diss lake la kizushi,bila kumdiss nicki asingesikika
Mtu kusema humjui P The MC, au humjui Nikki Mbishi, hiyo ni Disrespect kwa hao jamaa, otherwise labda sio mfuatiliaji wa Hip Hop ya Bongo, na kama sio mfuatiliaji wa Hip hop ya Bongo hapa unatafuta nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Karibia mwaka wa 6 namfahamu nicki,p the mc amesikika tu kwa ajili ya huu wimbo wake ,na bila kumdiss nicki asingesikika ,watu wanaotoa hit ndo wanasikika huyu p the mc wengi ndo wanamjua kwa diss lake la kizushi,bila kumdiss nicki asingesikika
Ni bora ulivyosema kuwa umemfahamu sasa.
Hii inaonesha hiphop ya bongo sio chaguo lako....
P alikuwepo kabla ya diss track.....na hata asingemchana nick bado angesikika tu.
Hivi mkuu south alienda sababu kamdiss Nick?
 
Karibia mwaka wa 6 namfahamu nicki,p the mc amesikika tu kwa ajili ya huu wimbo wake ,na bila kumdiss nicki asingesikika ,watu wanaotoa hit ndo wanasikika huyu p the mc wengi ndo wanamjua kwa diss lake la kizushi,bila kumdiss nicki asingesikika
labda wewe ndio umemjua hapo, sisi tunamjua kitambo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Karibia mwaka wa 6 namfahamu nicki,p the mc amesikika tu kwa ajili ya huu wimbo wake ,na bila kumdiss nicki asingesikika ,watu wanaotoa hit ndo wanasikika huyu p the mc wengi ndo wanamjua kwa diss lake la kizushi,bila kumdiss nicki asingesikika
Duuh! Mbona Nash Mc (Zuzu) sikumbuki mara ya mwisho kumsikia kwenye radio station yoyote. Inaa maana hata hits songs!?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nash mc anajua ,halafu promo zake zipo instagram,nash mc ana mipini ya kweli ukisikia michano yake huwezi kusikia,humsikii kwa sababu yule style yake ya promo iko tofauti.
Lakini huyo p the mc hamna kitu hapo
Duuh! Mbona Nash Mc (Zuzu) sikumbuki mara ya mwisho kumsikia kwenye radio station yoyote. Inaa maana hata hits songs!?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…