Barn
JF-Expert Member
- Feb 28, 2017
- 2,734
- 4,042
Kwanza aliewaambia wavae masweta saa 10 na hili joto la dar nani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hilo nalo lilinishangaza sanaKwanza aliewaambia wavae masweta saa 10 na hili joto la dar nani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hali ngumu haya huwa tunavaa kwenye jua kali au baridi hatuna nguo nyingine....Kwanza aliewaambia wavae masweta saa 10 na hili joto la dar nani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sheria gani inakataza kapten asiwashike mkono wachezaji wenzake wakati wa kuwatambulisha?
Yule msemaji wao shambaboyKwanza aliewaambia wavae masweta saa 10 na hili joto la dar nani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha noma mkuuMkuu hali ngumu haya huwa tunavaa kwenye jua kali au baridi hatuna nguo nyingine....
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio nashangaa ajibu sijui alianzaje kumpelekea mkono Yondani kama sio kumtafutia lawamaHivi pale Ajib alitakiwa kutoa mkono au kutambulisha wachezaji wenzake???
Uchochezi WA Azam TV ni niniAzam wachochez kikawaida keptain ampagi mkono mchezaj pindi anapomtambulisha kwa kiongozi
Ajibu ovyo sana captain gani kila game anatolewa mpira haujaisha na kumuingiza kaseke au ngasa. Work rate yake ndogo sana japokuwa ana footwork nzuri hatafika mbali. Bila kuwa na physical na work rate kubwa hataenda mbali. Jana beki ilicheza vizuri SanaUchochezi WA Azam TV ni nini
Wao ndio walimwambia Yondani asitoe mkono au walimtuma ajibu agawe mkono Kwa wachezaji wenzake
Sent using Jamii Forums mobile app
Inahusianaje na Yondani kukataa mkonoAjibu ovyo sana captain gani kila game anatolewa mpira haujaisha na kumuingiza kaseke au ngasa. Work rate yake ndogo sana japokuwa ana footwork nzuri hatafika mbali. Bila kuwa na physical na work rate kubwa hataenda mbali. Jana beki ilicheza vizuri Sana
Kapten huwa hatoi mkono kwa wachezaji
MgangaKwanza aliewaambia wavae masweta saa 10 na hili joto la dar nani?
Sent using Jamii Forums mobile app
I choose youYondani hana akili kabisa
I'm the girl from nowhere,... the one no one will miss .... that's why they choose me...[emoji97]