Faiza Foxy karibu hapa.Nimefanya kautafiti kwa muda wa miezi mitatu iliyopita nimegundua wadada wanavaa sana T-shirt zilizoandikwa "Ball" nyuma na mbele. Bado cjajua kinachowavutia ila muda ndo utatupa majibu. Jana msichana mmoja mrembo alivaa imeandikwa Big BALL!!
Wanamaanisha nn wadada wetu?
Picha baadae!