Big BALL

Big BALL

Jile79

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2009
Posts
17,668
Reaction score
13,263
Nimefanya kautafiti kwa muda wa miezi mitatu iliyopita nimegundua wadada wanavaa sana T-shirt zilizoandikwa "Ball" nyuma na mbele. Bado cjajua kinachowavutia ila muda ndo utatupa majibu. Jana msichana mmoja mrembo alivaa imeandikwa Big BALL!!
Wanamaanisha nn wadada wetu?
Picha baadae!
 
Faiza Foxy karibu hapa.
 
siku zinavyozidi kwenda mambo yanabadilika hum,from the best to worst
 
Back
Top Bottom