Big, Bigger, Biggest...


🖎K-T Meteor or K-T Asteroid - ni kimondo kikubwa kuwai kutokea duniani na kuipiga duniani kwenye Gulf of Mexico (Ghuba ya Mexico) na kufanya mass extinction (kutoweka) kwa viumbe (plant and animal Species) wakiwemo Dinasour.
👉K-T Event - tukio hili limetokea miaka milioni 66 iliyopita. K - German Word "Kreide" meaning Chalk Sediment. T - means Tertiary - the period of time spanning the Paleogene and Neogene periods.
 


✍ Hizi ndizo nchi kubwa duniani kwa eneo kwa (kmsquare).
1. Russia. 17,098,242.
2. Canada. 9,984,670.
3. United States. 9,826,675.
4. China. 9,596,961.
5. Brazil. 8,514,877.
6. Australia. 7,741,220.
7. India. 3,287,263.
8. Argentina
. 2,780,400
 

Wild Beest Migration one of Great Animal Migration In the world - Inakadiriwa wanyama milioni 2 wanavuka Mto Mara kutoka Mbuga ya Serengete, Tanzania na kwenda Masai Mara ya Kenya kwa ajili ya kutafuta chakula na maji.
✍Facing multiple dangers such as land predators and crocodiles the wildebeest complete an 800 km round trip during the migration.
✍ One of the impressive natural event in the world.
 
Punt Gun-Silaha iliyotumika kuwindia ndege(batamaji) zamani kati ya karne ya 19-20. Ilikua na uwezo wa kupiga shot moja yenye uzito hadi wa nusu kilo ukiwa katika mfumo wa pellets(kwenye shot gun zinaitwa buck shots) ambayo mpigo mmoja uliua mpaka ndege 50

Kutokana na matumizi yake ambapo wawindaji hata wawili au watatu walikua na uwezo wa kuwazunguka kundi la batamaji na kuwashambulia kwa mpigo na kujikuta wanaua hadi ndege 500 ikabidi ifungiwe(Haipo/haitumiki/ni haramu kwa sasa)
 

Simu ya mezani kubwa kuliko zote kupata kutengenezwa. Ina ukubwa wa tani 3.5 na ilitengenezwa mwaka 1988 kwenye kusheherekea kuanzishwa kwa kampuni ya bima ya Centraal Baheer

Ili kupiga na kupokea simu ilibidi kikonyo cha kupokelea kinyanyuliwe kwa kutumia crane
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…