Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
I like it, Thanks for the knowledge mate.Punt Gun-Silaha iliyotumika kuwindia ndege(batamaji) zamani kati ya karne ya 19-20. Ilikua na uwezo wa kupiga shot moja yenye uzito hadi wa nusu kilo ukiwa katika mfumo wa pellets(kwenye shot gun zinaitwa buck shots) ambayo mpigo mmoja uliua mpaka ndege 50
View attachment 1769389View attachment 1769390
Kutokana na matumizi yake ambapo wawindaji hata wawili au watatu walikua na uwezo wa kuwazunguka kundi la batamaji na kuwashambulia kwa mpigo na kujikuta wanaua hadi ndege 500 ikabidi ifungiwe(Haipo/haitumiki/ni haramu kwa sasa)
View attachment 1769391
😁😁😁😁😁View attachment 1769400
Maker Pen kubwa kuliko zote(2.74m)
Ilitengenezwa na Muhammad Dileef mwaka 2020 ili kuwapa motisha kizazi kijacho wajifunze kuandika kwa kutumia mikono(bila msaada wa teknolojia)
Hahahahahahahaha acha bangeView attachment 1770126
Mashine ya kupulizia pafyumu 1952
What a beautiful place jamani[emoji8][emoji3590][emoji3526]View attachment 1759779
Afraid of heights???.... Huku sio kwa kwenda hapo ni Preikestolen, Norway
View attachment 1770126
Mashine ya kupulizia pafyumu 1952
Wapi hiiView attachment 1770163
Kisiwa kilichojengwa kila square inch (Kimetelekezwa sasa)
Kinaitwaje,Kiko wapi na kwann kilitelekezwaView attachment 1770163
Kisiwa kilichojengwa kila square inch (Kimetelekezwa sasa)
Shangaa wewe...kitendo cha kumurona tu nimepoteza hamu ya kulaMmmmh huyu mdudu Kuna watu wanamshika
Haiwezekani tukadai hii Mali yetu iliyopelekwa ujerumani?View attachment 1760387
👉Dinosaur Bones - yaliyopatikana Tanzania eneo la Tendaguru Kati ya mwaka 1909 na 1913 - which made it the most successful dinosaur excavation of all time.
👉Hivi sasa yupo Makumbusho ya Berlin nchini Germany.
Duh hizi pyramid kumbe ni kubwa kiasi hichi
sababu ya kutelekezwa ni hipi?View attachment 1770163
Kisiwa kilichojengwa kila square inch (Kimetelekezwa sasa)
aiseeStrepy Thieu Boat lift(Belgium)- ni lifti ya kubebea boti yenye urefu wa zaidi mita 73 na uwezo kubeba tani 350 na ndo ilikua lifti ndefu kuliko zote duniani kwa muda mrefu mpaka 2016 ilipokuja kupigwa bao na Ship lift ya Three gorges Dam(113m, tani 3000)
View attachment 1770120
View attachment 1770124
Lengo hasa la wabelgiji kuwa na hii lifti ni ili kutimiza ndoto yao ya muda mrefu ya kuweka kuonganisha mito miwili ya Meuse na Scheldt ili iweze kukatiza katikati ya nchi. Tatizo pekee walilokua nalo ni kwamba mito hiyo ina tofauti yq kimo(asl) ya zaid ya mita 96
Ila kwa teknolojia hii mambo murua kabisa waliweza kutengenezwa hii canal inaitwa SART CANAL ambapo magari yanapita chini baadhi ya sehemu na mto unapita juuView attachment 1770125
Hii ndiyo Taarifa ya mwisho niliyoipata kuhusiana na Masalia ya Dinasour huyo?Haiwezekani tukadai hii Mali yetu iliyopelekwa ujerumani?