Ryan Holiday
JF-Expert Member
- Jul 25, 2018
- 2,026
- 4,450
Katika mizunguko huko kagera, tuliwahi kukutana na earthworm wakubwa sana!View attachment 1849821
African Giant Earthworm [emoji117]According to the Encyclopedia of Endangered Species, individuals reliably reach 6.6ft (2m) long, with a diameter of 4cm. Another species, the African giant earthworm is known as (Microchaetus rappi).
Sema nimeipenda iyo imagination yenu😂😂😂😂 kama mnyoo yupo hivi, je nyoka atakuwaje? Sema wasi wasi ndiyo akili.Katika mizunguko huko kagera, tuliwahi kukutana na earthworm wakubwa sana!
Jamaa yetu mmoja akasema, "kama mnyoo ni mkubwa hivi, si ajabu nyoka wa maeneo haya ni anaconda."[emoji28][emoji28]
Ikabidi tutoke eneo lile maana wadau waliogopa sana.
Hatari sana mkuu!Sema nimependa iyo imagination yenu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kama mnyoo yupo hivi, je nyoka atakuwaje? Sema wasi wasi ndiyo akili.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji119][emoji119][emoji119]Back in 1996, a PanAm plane was needed to transport a 5MB hard drive.
View attachment 1916493
Mchina huyo[emoji15][emoji15][emoji15]View attachment 1916576
Duh!!!,Sasa huyo alikuwa na mwili wa aina gani??.View attachment 1836119
Mfupa wa miguu,(Femur) ya Dinosaur, France
huyo alikuwa akichomwa na kisiki leo maumivu anayaskia cku inayofuataDuh!!!,Sasa huyo alikuwa na mwili wa aina gani??.
Niliwahi kwenda hospital ya Benjamin Mkapa Dodoma basi pale wanapokaa watu kuna bonge moja la tv sijui hata ni nch ngapi ile[emoji15][emoji15][emoji15]View attachment 1916576
Afu ukute sio TV ni projector. Nitakucheka sana mkuu Ezekiel.Niliwahi kwenda hospital ya Benjamin Mkapa Dodoma basi pale wanapokaa watu kuna bonge moja la tv sijui hata ni nch ngapi ile
😂😂 Daaah hata kama nimetokea Kigoma sio kwa ushamba huo, ile tv ilibidi niisogelee kidogo kuiangalia kwa nyuma mana ndo ilikuwa mara ya kwanza kuona tv kubwa vile. Kwa ambaye aliwahi kwenda hapo aje anitetee.Afu ukute sio TV ni projector. Nitakucheka sana mkuu Ezekiel.
Hakuji Mtu Mkuu.😂😂 Daaah hata kama nimetokea Kigoma sio kwa ushamba huo, ile tv ilibidi niisogelee kidogo kuiangalia kwa nyuma mana ndo ilikuwa mara ya kwanza kuona tv kubwa vile. Kwa ambaye aliwahi kwenda hapo aje anitetee.
Mdomo kubaki wazi na macho kukodoa yote yalitosha kufanya kazi ya camera.Hakuji Mtu Mkuu.
Kaa kwa kutulia hata foto hauna kweli?
Kushangaa gani huko?
Ngoja tuone kama utapata mtetezi. Na aje na ka foto. Kama kimya mpaka Jumatatu nakucheka balaa.Mdomo kubaki wazi na macho kukodoa yote yalitosha kufanya kazi ya camera.
Daah ngoja nisubiri watetezi waliowahi kufika eneo la tukioNgoja tuone kama utapata mtetezi. Na aje na ka foto. Kama kimya mpaka Jumatatu nakucheka balaa.
Ngoja nikutetee mwamba! Ni tv ile na siyo projector kama anavyokushambulia ndugu hapo juu..[emoji23][emoji23] Daaah hata kama nimetokea Kigoma sio kwa ushamba huo, ile tv ilibidi niisogelee kidogo kuiangalia kwa nyuma mana ndo ilikuwa mara ya kwanza kuona tv kubwa vile. Kwa ambaye aliwahi kwenda hapo aje anitetee.