Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawachelewi kubwaga majanga.Angalizo katika kuleta vitu vikubwa tuzingatie maadili jamani.
Inaweza kuwa 65" japo sina uhakika mkuu! Halafu iko curved..Asante boss kwa kuja, ile mapokezi ni kama size ngapi.?
Karucee
Yah mzee nilisahau hy ipo curved ile kitu ukiwa unaangalia mpira au movie inakuwa fresh knomaInaweza kuwa 65" japo sina uhakika mkuu! Halafu iko curved..
Upo sahihi BMH wameweka pale mapokezi ukienda kule maabara ipo na kule OPD nafikiri, kibongobongo hii hospital walijenga haswaaa!!!Niliwahi kwenda hospital ya Benjamin Mkapa Dodoma basi pale wanapokaa watu kuna bonge moja la tv sijui hata ni nch ngapi ile
Ile kitu sio ya mchezo mchezoUpo sahihi BMH wameweka pale mapokezi ukienda kule maabara ipo na kule OPD nafikiri, kibongobongo hii hospital walijenga haswaaa!!!
Unaogopa kubwa kuwekwa humu?Angalizo katika kuleta vitu vikubwa tuzingatie maadili jamani.
Warusi was*nge wameilipua hii ndege dahhii inaitwa Antonov An-225 ni moja kati ya ndege kubwa duniani. ni ya UkraineView attachment 1759856View attachment 1759855e
Ngoja tusubirie labda mwisho wa vita watawalipa gharama zakeWarusi was*nge wameilipua hii ndege dah
Katika mizunguko huko kagera, tuliwahi kukutana na earthworm wakubwa sana!
Jamaa yetu mmoja akasema, "kama mnyoo ni mkubwa hivi, si ajabu nyoka wa maeneo haya ni anaconda."[emoji28][emoji28]
Ikabidi tutoke eneo lile maana wadau waliogopa sana.