Big, Bigger, Biggest...

Big, Bigger, Biggest...

Niliwahi kwenda hospital ya Benjamin Mkapa Dodoma basi pale wanapokaa watu kuna bonge moja la tv sijui hata ni nch ngapi ile
Upo sahihi BMH wameweka pale mapokezi ukienda kule maabara ipo na kule OPD nafikiri, kibongobongo hii hospital walijenga haswaaa!!!
 
Ifbri.jpg
 
Katika mizunguko huko kagera, tuliwahi kukutana na earthworm wakubwa sana!

Jamaa yetu mmoja akasema, "kama mnyoo ni mkubwa hivi, si ajabu nyoka wa maeneo haya ni anaconda."[emoji28][emoji28]

Ikabidi tutoke eneo lile maana wadau waliogopa sana.

IMG_1024.png

Mara paaaaaa,mnakutana na mzoga wa bro size hii umeanza kutoa harufu[emoji1787][emoji1787][emoji1787].

Hizo mbio zake sio za dunia hii,kila ukiwaza kauawa na nini unaongesa kasi.
 
Back
Top Bottom