Big, Bigger, Biggest...

Big, Bigger, Biggest...

Gloutós,chura laini zaidi Tanzania.
17474316520.jpg
 
20210422_030109.png

👉Mount Kenya ni mlima wa kwanza kwa urefu nchini kenya na mlima wa pili kwa urefu barani afrika baada ya mlima kilimanjaro. Unakadiriwa kuwa na urefu wa 5199m na vilele vyake viwili vikubwa ni Batian (5199m) na Nelion (5188m).
 
20210422_034053.png

👉A satellite photo of Lake Victoria - Ziwa la kwanza kwa ukubwa barani Afrika ambalo linacover kilomita za mraba 69485.
👉 Ziwa la pili kwa ukubwa duniani (all freshwater lake) baada ya Ziwa Superior linalopatikana North America.
👉 Chanzo cha mto Nile.
 
View attachment 1760037
[emoji117]A satellite photo of Lake Victoria - Ziwa la kwanza kwa ukubwa barani Afrika ambalo linacover kilomita za mraba 69485.
[emoji117] Ziwa la pili kwa ukubwa duniani (all freshwater lake) baada ya Ziwa Superior linalopatikana North America.
[emoji117] Chanzo cha mto Nile.
Ambal ndio hili hapa
Lake-Superior-1.jpg
 
Back
Top Bottom