Nimkimbilie nani
JF-Expert Member
- Nov 23, 2016
- 5,996
- 6,290
Kwanini huwa Hayakimbii?Hii Crankshaft ina Tani 300. Mizunguko wake kwenye ile injini unatoa 108,920 hpView attachment 1760844
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini huwa Hayakimbii?Hii Crankshaft ina Tani 300. Mizunguko wake kwenye ile injini unatoa 108,920 hpView attachment 1760844
Bwana machura at workGloutós,chura laini zaidi Tanzania.View attachment 1760023
ana sumu kali sana uyu kenge anadondosha hadi nyatiView attachment 1761803
[emoji117]Komodo Dragon - Mjusi mkumbwa kuliko wote duniani na anapatikana katika kisiwa maarufu (Komodo Island).
Yaaah ni kweli, komodo dragon ana sumu kali (venom) ambayo ndani yake inasome compound ambazo kazi yake ni kustop blood pressure ya prey na kumfanya kuwa weak na hatimaye kufa.ana sumu kali sana uyu kenge anadondosha hadi nyati
Shimozamisha au shimomdimoView attachment 1759798
Sinkhole(Sijui kiswahili ni ??),Uturuki
Aisee sasa tungeimiliki hii hapa tz kipindi cha mwendazake c angetoa offer wilaya kisarawe wote tukatembelee chatohii inaitwa Antonov An-225 ni mona kati ya ndege kubwa duniani. ni ya UkrainView attachment 1759856View attachment 1759855e
When you pour salt on a snail (or slug) the water is very rapidly pulled out of the cells of the snail's body by a process called osmosis. ... The bubbling comes from the slime and air being forced out of the snail's body as it shrivels up. If enough salt is poured on the snail it will die of dehydration fairly quickly.Zaman nilikuwa nikiona aina yeyote ya konokono chumvi ilikuwa Ina mhusu. Hadi leo sijajua kwann ukiwamwagia chumvi wanayeyuka