Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
BBA 2007.... ilikuwa ni homa ya jiji...watu wengi walikuwa hawakai mbali na luninga zao....peopleof all ages and walks of life...it was something else.nimekosa hiyo ya richard kwasababu nilikuwa sehemu haina net kabisa, lakini ya mwisho niliangalia day 1 mpaka siku ya mwisho
BBA 2007.... ilikuwa ni homa ya jiji...watu wengi walikuwa hawakai mbali na luninga zao....peopleof all ages and walks of life...it was something else.
Watazamaji tunakubaliana na msimamo wake lakini inayotupa shida ni kuwa huwezi kumkataa mtu kistarabu bila kulia machozi na kubadirika mood ukawa kama mgonjwa ukawachunia na House mates wote?Elizabeth kama walivyo washiriki wa kike wengi kwenye Jumba hawataki yawakute yaliyomkuta Tatiana 2007..unakosa mshiko na Boyfriend anakumwaga kwa vile ulipendana na mtu ndani mle.Kanishangaza Krystal alipokuwa anahojiwa..akasema
" I love my boyfriend more than I love myself!" Aliniacha mdomo wazi.
Kanishangaza Krystal alipokuwa anahojiwa..akasema
" I love my boyfriend more than I love myself!" Aliniacha mdomo wazi.
sidhani kama alikuwa sahihi huwezi kuwa extremist kwenye mapenzi kiasi hicho, kumpenda mtu kuliko unavyojipenda??? Lakini to a certain extend nakubalina na Vera kuwa wadada wengi wana bank their trust kwa wanaume na wanawapenda kwa moyo wote.Thats her, and i think she knows exactly what she meant... wewe je?
Watazamaji tunakubaliana na msimamo wake lakini inayotupa shida ni kuwa huwezi kumkataa mtu kistarabu bila kulia machozi na kubadirika mood ukawa kama mgonjwa ukawachunia na House mates wote?
Thats her, and i think she knows exactly what she meant... wewe je?
Hivi Richard naye ilikuwaje na Mke/Girl friend wake maana nasikia maara ya kwanza alikubali kuwa lilikuwa game lakini baadaye alikuja kubadiri kibao kampiga mshikaji taraka, vipi ilikuwaje?washiriki wa kike wengi kwenye Jumba hawataki yawakute yaliyomkuta Tatiana 2007..unakosa mshiko na Boyfriend anakumwaga kwa vile ulipendana na mtu ndani mle..
Kevin and Elizabeth sit on the couch contemplating their un-pairing. Kevin advises Elizabeth on her game plan. Elizabeth says that she is glad to have made it this far but she plans on being herself from now on.
Mkuu karibu ulikuwa umejificha wapi???? Presure watu zilikuwa zinapanda zinashuka, Nadhani Eliza amebakizwa ndani sababu ya Kelvin alionyesha uungwana sana pamoja na kupigwa buti wasi wasi wangu kuwa sasa akisimama kwa miguu yake mwenyewe (Eliza) inaweza ikawa hatari sana kama hatabadiri strategy.Elizabeth ameahidi kwamba kuanzia sasa atabadilika, ila sijajua hayo ni mabadiliko gani.
Ngoja tuone wiki ijayo mambo yatakuwaje.
She really love her boyfriend na hataki kabisa kuchanganya feelings..
Honestly..hata kama nampenda vipi siwezi kudeclare that infront of millions of people wakati huna uhakika kama naye anakupenda kwa kiwango hichohicho
Richard was newly married alipoingia BBA...Hivi Richard naye ilikuwaje na Mke/Girl friend wake maana nasikia maara ya kwanza alikubali kuwa lilikuwa game lakini baadaye alikuja kubadiri kibao kampiga mshikaji taraka, vipi ilikuwaje?