Big Brother Africa 2009: The Revolution


Mkuu nipo sana, majukumu ya hapa na pale. Sikuwa na pressure kwa kweli, maana Quinn/Kristal sikuona kama ni strong contenders nikilinganisha na pair kama Eddie/Emma.
 
Mkuu nipo sana, majukumu ya hapa na pale. Sikuwa na pressure kwa kweli, maana Quinn/Kristal sikuona kama ni strong contenders nikilinganisha na pair kama Eddie/Emma.
unadhani huyu mdada (Elizabeth) sasa hivi akiwa pekee yake itamsaidia? lakin amekuwa anabadirika badirika sana, I think next week atacheza vizuri baada ya realif ya kuachana na Kelvin.
 
unadhani huyu mdada (Elizabeth) sasa hivi akiwa pekee yake itamsaidia? lakin amekuwa anabadirika badirika sana, I think next week atacheza vizuri baada ya realif ya kuachana na Kelvin.

Akirogwa akampiga buti kali Kelvin ndiyo atakuwa kajimaliza mwenyewe maana atabaki kama kisiwa. Emma yuko bize na Jeremy; Nkenna haziivi na tayari Eliza alishasema kwamba Nkenna hampendi. Geraldine yupo yupo tu kama hayupo. Eddie, Itai, Mzamo na Leo hawako close na Eliza.

Unajua unapokuwa kisiwa ni rahisi sana watu kukuzunguka na kukunominate, maana hana hasara ama aibu ya kusema siwezi kum-nominate kwa kuwa ni rafiki ama niko nae close.

Kipindi hiki ni kibaya kwa sababu alliance ni kama zimekufa, inahitaji mtu ajichanganye sana ili kuweza kusoma mind za watu. Ukienda solo basi lazima uwe ni strong character kama Mzamo ama Eddie ambao wao sasa hivi wapo wapo na sijui kama wako tayari kuingia kwenye alliance yoyote.

Ninachokiogopa, dada yetu asije akaota mapembe baada ya kuwa up for eviction mara 2 na zote aka-save. Kevin alimsaidia sana kwa kuwa kwenye pair, kama angekuwa alone tungeishampokea JKN International Airport siku nyingi.
 
Huyu binti (Elizabeth) naona kaingia kwenye mchezo huu bila mkakati, lengo lake ni kwenda BBA, na baada ya kufika huko hana ajenda. Wenzake wanacheza strategically yeye yupo yupo tu!!! Baada ya pair kuachanishwa, huyu binti namuona hana future kwani amekuwa anaokolewa na umaarufu wa Kevin. Afrika ikiamua kumtoa Elizabeth, hana wa kumulaumu, ajilaumu yeye mwenyewe kwa kuwa hajui kucheza huu mchezo, yetu macho na masikio, time will tell.
 
Elizabeth ili aweze ku-survive inatakiwa aendeleze urafiki na Kevin wakati huo huo alliance yao na Emma na Jeremmy iendelee. Ninachohisi wiki hii watawanominate Wanaigeria tupo yaani Nkenna (HOH) na Geraldine. Then, Nkena atajiokoa na kumwingiza mwingine na Afrika itaamua kumtoa m9ja mmoja yaani Geraldine.

Possibility nyingine ni kuwa nominated Nkena na Leonel (wanamwita serpent). Hapo ndo itakuwa ngumu sana kwani HOH atamwingiza motoni housemate mwingine si m9ja. Na kwakuwa Nkena haziivi na Elizabeth basi hatari kubwa. Tusubiri kesho, bila shaka gemu ndo linakuwa ngumu zaidi sasa.
 
Tusubiri kesho, bila shaka gemu ndo linakuwa ngumu zaidi sasa.

Ngoma ya kesho ni ngumu na haitabiriki kwa kuwa watu wameshindwa kuafikiana nani wam-nominate. Pia inawezekana kukawa na leakage ya strategy ambayo inaweza ku-backfire kama ilivyowafanya vibaya South Africans.

Tayari kuna kila dalili za backstabbing. Nominations za kesho zinaweza kuwa very interesting kwa kuwa kuna watu watasalitiana, in the end all Nigerians will remain untouched, au kama wataguswa basi wanaweza kumgusa mmoja na akaokolewa na Nkenna.
 

wanigiria nao walifanikiwa baada ya kuuza uongo wao kuwa wao wako safe kwa sababu kinachohesabiwa huko nje ni total count vote na sio nchi, sasa niliona hata Elizabeth siku moja anaisema hii diary room, kwa hiyo House mate wanaogopa kuwaudhi wanigeria nje kwa kuhisi kuwa ni wengi kwa population, yaani hata Jiografia yao ya Form IV haiwasaidii wamesahau kuwa mle ndani kila House mate anacheza game hata story wanzosema watu ni strategy ya kushinda game hakuna ukweli mle
 
unadhani huyu mdada (Elizabeth) sasa hivi akiwa pekee yake itamsaidia? lakin amekuwa anabadirika badirika sana, I think next week atacheza vizuri baada ya realif ya kuachana na Kelvin.
Inabidi awe muangalifu sana sababu ni ukweli uhusiano wake na Kelvin umemsaidia kufika alipo
 
Today's Nominations

Jana nilisema kwamba kwa jinsi mambo yalivyo, uwezekano wa kuwa-nominate Nigerians ni mdogo sana. Nominations za leo Nigerians wamepona na sasa kama Nkenna ni smart, it is time to do her thing strategically kwa kumuweka Emma up for eviction, move hiyo itaisambaratisha alliance ya akina Emma.


Summary ya nominations:

Nkenna - Jeremy + Emma
Mzamo - Jeremy + Elizabeth
Eddie - Itai + Jeremy
Itai - Jeremy + Mzamo
Elizabeth - Itai + Mzamo
Kevin - Leonel + Mzamo
Emma - Itai + Mzamo
Leonel - Jeremy + Elizabeth
Geraldine - Nkenna + Mzamo
Jeremy - Itai + Mzamo

Waliopata kura nyingi ni:
Mzamo = 6
Jeremy = 5
Itai = 4

Iwapo Big Brother atachukua wawili wa juu, basi ni Mzamo na Jeremy. Iwapo itakuwa hivyo na kama Nkenna ni strategist mzuri atamuokoa Mzamo na kumuweka Emma ili mmoja kati yao aondoke. Iwapo BB ataamua watatu wawe nominated basi Nkenna, for obvious reasons, atamuokoa Itai na kumuweka Emma. Bado Jeremy anaweza kuwa na kibarua kigumu mbele ya Emma na Mzamo, in the end alliance ya akina Emma itasambaratishwa. Ngoja tusubiri baadaye tuone maamuzi ya Nkenna yakoje.

Wiki hii itakuwa ni mbaya sana kwa JEMMA na pia hata Elizabeth, kwa kuwa lazima Emma na Elizabeth watakuwa hawana imani kama wamepona au la.

NOTE: Hakuna housemate aliyem-nominate m-Nigeria yeyote, zaidi ya Geraldine ambaye kasema ndivyo walivyokubaliana na Nkenna. Jana nilisema watabaki untouched.

The whole thing is fvcked up kwa sababu ya alliance ya kijinga ya akina Emma ambayo automatically inawagusa other two Nigerians, kwa hiyo akina Emma hawawezi ku-introduce subject ya wingi wa Nigerians mbele ya Kevin unless wamtumie Eliza. Eliza angekuwa na "mahusiano" na Kevin ya JEMMA style, angweza kuifanya hiyo kazi kwa urahisi na mafanikio ili amshawishi Kevin awatose ma-'wifi' zake. Sasa dada yetu haeleweki, kwanini Kevin a-take risk ya kuwatosa dada zake na ilhali hana attachment yoyote na Eliza.

Sasa wasubiri non-Nigerian ashinde HoH labda akiwa-swap ndipo wanaweza kuwa up for eviction. Lakini kwa mwendo huu wa nominations ni ngumu sana na leakage ya strategies ni kubwa, Kevin hawezi kukaa kimya akisikia Emma na wenzake wanataka kuwa-nominate dada zake, lazima ataenda kuwaambia na hivyo hao akina dada watatafuta numbers ili ku-counter hiyo strategy.
 
lakini washiriki kkuto9ka SADC nao haiwajajua kuwa nje tunacheza kwa ukanda wao wameng'ang'ania alliance na urafiki wao wa ndani, angalia walivyonominate, walitakiwa saa hizi kushtuka kwani wao wanakura za kusini zote kwa hiyo ilikuwa hapo wanominate North na kungekuwa na uvutano wa kikanda. Mimi naona mwaka huu pesa inaenda Nigeria, maana washiriki wa kusini wanaonekana kuyumbishwa mawazo na wanija
 

Sijui kama Jeremy atapona. Sasa ndo game linaanza. Ngoma ya wiki hii itakuwa tamu sana kwa kuwa lazima tutaona emotions humo ndani na kuna watu watatuonyesha rangi zao halisi. Tayari Emma kaishaanza kulia na hapo hajui kama na yeye amewekwa kwenye kitanzi au la. Bahati ni kwamba atatoka mtu mmoja, wangekuwa wanatoka 2, basi wangetolewa wote 2 siku moja ili wapate nafasi ya kufanya mambo yao nje ya Jumba ambako hakuna camera.
 

Kura za kusini haziaminiki sana. Lakini baada ya eviction ya wiki ijayo angalau sasa watu watafunguka macho na kuona kuna nini. Dawa pekee ya kuwapunguza Nigerians ni kwa kuwapandisha wawili kwa wakati mmoja. Vinginevyo Nigeria wanatengenezewa njia ya kuelekea kwenye finals ivi ivi.
 
Ila wadau haka katoto ka Angola kazuri jamani true african beauty n bravery hebu angalia jinsi kanavocalculate, very strategic!
http://www.mnetafrica.com/bigbrothe...d=20277&Search=&CategoryId=0&sortby=5&CPage=0

Ni strategist mzuri sana na ni mwepesi wa ku-figure out mambo. Alikuwa na mchango mkubwa sana kwenye strategy ya kuondoa pacha mmoja. Pia hata nomination ya Quinn ni kenyewe ndiyo kali-engineer. This time imekula kwake, strategy yake imebuma, imenasa mmoja tu, Mzamo, na atachomoka maana Jeremy hana fans wengi.

Tatizo lake ni kwamba yuko kwenye alliance ambayo haina kichwa wala miguu. Eliza na Jeremy ni anti-social, hawajichanganyi na watu wengine. Emma nae amejikuta muda mwingi yuko bize na Jeremy wake, hakuna new ideas.

Kevin hawawezi kumtumia zaidi kwa kuwa kuna mahali inafika anatakiwa kuwa-backstab dada zake na hawezi. Juzi Jumapili alikosana na Nkenna kwa kuwa alliance ya akina Eliza/Emma/Jeremy walikuwa wanataka kichwa cha Itai, na Nkenna aligoma kabisa. Na kwa kuwathibitishia hilo, leo amekichomoa kichwa cha Itai kutoka kwenye kitanzi!

Unajua sometimes unahitaji kujichanganya ili uweze kusoma mind za watu. Siku zote akina Nkenna hawaendi kuomba numbers kwa Jeremy au Eliza na Emma kwa kuwa wanajua wamejifungia kwenye dunia yao. Mtu anapokuja kukushirikisha kwenye strategy maana yake ni kwamba unapata idea anafikiria nini na kwanini anataka kufanya hivyo, na hivyo unaweza kutumia info hiyo ku-figure out your strategy.

Wiki ijayo Jeremy akiondoka alliance yao itakufa kibudu, utawaona wanaanza kwenda solo kama Eddie na Mzamo walivyo sasa hivi. Hakuna wa kujadiliana nae kuhusu nominations ukiingia diary room unajitajia watu wako then unaondoka zako na unakuwa na sababu zako binafsi.
 
ndio kaujinga kake, hataki hata watu wamtajie hilo jina lake, hairuhusiwi kunakili, haki imehifadhiwa

ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ... this time JEMMA imenasa kwenye tope zito, lazima dif (Emma) ibaki chini, bodi (Jeremy) liondoke peke yake. End of JEMMA?
 
ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ... this time JEMMA imenasa kwenye tope zito, lazima dif (Emma) ibaki chini, bodi (Jeremy) liondoke peke yake. End of JEMMA?

Emma hajawahi kuwa nominated? ndio maana amepanick sana, Ila ingekuwa tamu sana kama yeye ndio angekuwa anatoka najua katalia machozi hako.
 
Emma hajawahi kuwa nominated? ndio maana amepanick sana, Ila ingekuwa tamu sana kama yeye ndio angekuwa anatoka najua katalia machozi hako.

Hajawahi kuwa nominated, ila Quinn alichomoa kichwa chake na Krital akaingia Eddie/Emma kwenye kitanzi na walichomoka salama.
 

Leo ame-bore big time. Sikuona sababu ya kuwaka namna ile kwa Kevin na baadaye kwa Itai. Imezidi kumpunguzia fans Oboma Forum. Bahati yake wiki hayuko up, angekuwa up wangemchomoa. Nimeona Nigerians wanaombea awe up ili wamchomoe, hawataki aharibu game ya Kevin ingawa ameishaiharibu tayari. Eliza ni liability, sawa na Jeremy alivyo liability kwa Emma, ingawa Jeremy akiona kuna kasheshe huwa anakaa kimya hasemi kitu.

Hivi hawezi akaongea kwa ustaarab na akafikisha ujumbe bila jazba? Lazima akasirike na kupiga makelele? Kweli anazidi kunisikitisha sana na nguvu ya kum-support inapungua kila kukicha.

Jamaa zangu wanasema kama TZ ndo totoz ziko namna hiyo hakuna haja ya kutafuta totoz za kibongo ni kujitafutia matatizo ya bure. Unaweza ukawa unafokewa kama mtoto kila siku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…