Je, Emma ataondoka Jumapili hii?
Kwa kadri mwelekeo wa kura za maoni kule Oboma Forum unavyokwenda ninapata mashaka sana kwamba Emma anaweza kuondoka Jumapili ijayo, maana gap ninaona linakuwa kubwa. Hata kama kuna Nigeria factor kwenye hizo kura, lakini nimeanza kuingiwa na woga kwamba kambi ya dada yetu inaweza kupoteza Kamanda wa Mikakati (Strategist mkali).
Iwapo Emma atatoka tutarajie nini?
Iwapo Emma atatoka, mwakilishi wetu atakuwa kwenye hali ngumu sana kwa kuwa Emma ndiye alikuwa strategist wa alliances zote ambazo ameshiriki. Kwa hiyo alliance ya Eliza na Kelvin itakuwa haina mtu wa ku-mobilize nominations tena.
Iwapo Emma atatoka, Leonel atarudi kwa Mzamo. Nkenna ameishaahidi kwamba akipona eviction hana ushikaji na mtu yeyote kwa kuwa kuna watu kibao ambao alikuwa anawapa tip kwenye nominations na walizitumia kujiokoa, lakini wiki hii walimgeuka baada ya kum-nominate.
Eliza hana mtu mwingine ambaye anaweza kuongea nae mambo ya nominations zaidi ya Emma na Kelvin, na wakati huo Emma hatakuwa ndani. So Eliza anabaki kuwa kizani na sijawahi kumuona aki-mobilize watu kwa ajili ya nominations.
Itai alikuwa ameanza kuegemea kwa Kelvin, akitegemea kwamba Kelvin angem-protect kwa kuwa ana numbers za Eliza, Emma + Nigerians, lakini kitendo cha Eddie kushinda HoH kwa mara nyingine kitamfanya Itai aanze kuhangaika tena huku na kule, maana siku zote huwa hana msimamo na ni nyoka mzuri sana. Kutangatanga kwake ndiko ambako huwa kunamfanya atoe siri za alliance ama mtu fulani.
Nkenna aki-save, Kelvin atakuwa hana ujanja zaidi ya kuomba suluhu kwa Nkenna, ili kupunguza tension kati yao. Kelvin alishasema kwamba m-Nigeria yeyote atakayepanda kitanzini hatarudi salama, iwapo Nkenna atarudi salama anaweza kujua kosa alilofanya kwa kum-nominate countryman wake na atajua kwamba Nkenna is strong. But the botton line ni kwamba kuna nchi zinatafuta kichwa cha Kelvin kwa udi na uvumba, siku akipanda na SADC ajue ameondoka hata kama ni entertainer.
Hizo zote ni speculations based on what is going on in the house. Mpaka sasa watu ambao hawajaonja kitanzi ni Geraldine, Leonel na Itai. Nina mashaka sana siku wakipanda wanaweza wasirudi na kwa bahati mbaya ama nzuri hawako kwenye hit list ya Eddie, except Itai.
Tusubiri fainali keshokutwa saa mbili usiku, tutajua nani anatoka na akina nani wamepona. Kama Emma atatoka basi tunategemea Molotov Cocktail inaweza kumshukia tena Nkenna. I hope ya wiki ijayo itakuwa ni rahisi/nyepesi sio kama ile ya ku-bake mikate kila siku ama ya wiki hii ya kupika na kuosha vyombo vyote kwa wiki nzima.

Nkenna ................ 38.14 % (15060)
Elizabeth .............. 35.20 % (13897)
Emma ................... 26.66 % (10524)
Total Votes: 39481