ha ha ha Kaka hii kitu basi tu, yaani ungekuwa kama soka na mimi ningekuwa kama Dr. Liki
Sijawahi kuona hiyo ngoma ya The apprentice.
Ilikuwa ni babu kubwa. Sema tatizo ni kwamba it was on professions. Najua watu wengi wasingekiwa interested as it was purely on professionalism ie management, marketing, creativity and this kind of staff. Ngoja nitakupa some hints about it.
The Apprentice Africa is an African version of the original American Reality TV format, The Apprentice, hosted by Donald Trump. The show was hosted by Mr. Biodun Shobanjo, an advertising magnate, co-founder of Insight Communications and CEO of Troyka Group. It gathered 18 contestants from across six African countries: Nigeria, Ghana, Uganda,Kenya, Cameroon and Guinea.
The Apprentice is described as the ultimate, sixteen week job interview, where contestants will compete in a series of rigorous business tasks, many of which include major companies and require street smarts and intelligence to conquer, in order to show the CEO that they are the best candidate for the job.
The Apprentice Africa will gather 18 contestants from across Africa and the diaspora who will compete for a lucrative corporate job with befitting perks and an annual salary of US$200,000 and a luxury car.
premiered in February 2008 and ended in June 2008.
The premier edition, shot in the Nigerian commercial capital Lagos, had eighteen episodes where contestants competed in seventeen business tasks requiring street smarts and corporate intelligence to conquer. Contestants were arranged into two groups and in each episode, the winning team was rewarded while the losing team meet the CEO and his associates in the boardroom to explain why they lost. The Project Manager for that task would choose two teammates perceived to be the reason for the lost or the weakest link in the team, one of whom would then be fired.
Isaac Dankyi-Koranteng, a 31 year old Sales and Marketing Manager from Ghana, won the first season. He was hired by Biodun Shobanjo.
Nakuona mkuu Mbogela ndani ya kampeni nzito! Safi sana, full uzalendo au sio?
Ila binti kasababisha wanangu walie hapa wakati akijieleza, I couldn't take it... Niliwakwepa nikawaacha walie nikiwa sipo
Ah,Sijamuona bado ngoja nimtafute, Katukanumba nini???? ennheee tumechoka na maandamano ya kuwatetea maana akichemsha watalipiza kisasi wale akina Ray. maana huyu anatokea media ambayo wansema ilimamaliza K.
Ah,
Mkuu nadhani hukuangalia... Binti alijieleza maisha yake na kuelezea kuwa anahitaji kupata hela ya kumsaidia mamake na kujisomesha, sema aliongea kwa uchungu kuwa anajitahidi lakini jitihada zake hazijafua dafu... Aliwakuna washiriki wote kiasi wakaanza kulia WOTE. Kasema wadogo zake wanamtegemea mpaka anafanya kazi sehemu tatu kwa siku moja ili aweze kuwasaidia wadogo zake na mamake maana hawaishi na baba yao
Lakini kusema ukweli ni vizuri sana, maana hiyo ndiyo hali halisi aliyo nayo ndani ya familia yake na ninahisi ana machungu mengi.
.
Maelezo ya Elizabeth yanagusa moyoni na yanaliza ...
...Tujiunge wote katika umoja wetu kum-support huyu mwenzetu.Elizabeth anasema kwa uchungu kuwa anahitaji "Elimu"....Ni msichana mrembo na mwenye uelewa mkubwa...maelezo yake yanajieleza ni mtu wa namna gani.Tumpigie kura Dada huyu ili aendelee kuwepo kwenye BBA-2009.....Wenye uelewa mkubwa na mchezo huu,tupeni maelezo ni namna gani ya ku-vote!
Kila la Heri Elizabeth utafanikiwa.....maisha ni safari ndefu na ngumu,lakini endelea kusimamia katika unachoamini utafanikiwa tu! Good Luck!