Big Brother Africa 2009: The Revolution

Big Brother Africa 2009: The Revolution

ha ha ha Kaka hii kitu basi tu, yaani ungekuwa kama soka na mimi ningekuwa kama Dr. Liki

Umenikumbusha mbali at one time in tz huyu jamaa alikuwa Gumzo. Nilimkubali. For sure hata wewe kwenye hili naona ni Dr!

Sijawahi kuona hiyo ngoma ya The apprentice.

Ilikuwa ni babu kubwa. Sema tatizo ni kwamba it was on professions. Najua watu wengi wasingekiwa interested as it was purely on professionalism ie management, marketing, creativity and this kind of staff. Ngoja nitakupa some hints about it.
 
Ilikuwa ni babu kubwa. Sema tatizo ni kwamba it was on professions. Najua watu wengi wasingekiwa interested as it was purely on professionalism ie management, marketing, creativity and this kind of staff. Ngoja nitakupa some hints about it.

Inaonekana ilikuwa kali, shida ni kuwa kupata matangazo ya TBC (Makete) ilikuwa lazima uwe na satelite yao na mimi nilikuwa tayari nina DSTV nikaona itakuwa double investment kununua Dish lingine, kwa hiyo habari za home nikawa natagemea Redio, I-net na kwenye bar au kwa jirani. Lakini hiyo program naona ningeipenda.
 
The Apprentice Africa is an African version of the original American Reality TV format, The Apprentice, hosted by Donald Trump. The show was hosted by Mr. Biodun Shobanjo, an advertising magnate, co-founder of Insight Communications and CEO of Troyka Group. It gathered 18 contestants from across six African countries: Nigeria, Ghana, Uganda,Kenya, Cameroon and Guinea.

The Apprentice is described as the ultimate, sixteen week job interview, where contestants will compete in a series of rigorous business tasks, many of which include major companies and require street smarts and intelligence to conquer, in order to show the CEO that they are the best candidate for the job.
The Apprentice Africa will gather 18 contestants from across Africa and the diaspora who will compete for a lucrative corporate job with befitting perks and an annual salary of US$200,000 and a luxury car.

premiered in February 2008 and ended in June 2008.
The premier edition, shot in the Nigerian commercial capital Lagos, had eighteen episodes where contestants competed in seventeen business tasks requiring street smarts and corporate intelligence to conquer. Contestants were arranged into two groups and in each episode, the winning team was rewarded while the losing team meet the CEO and his associates in the boardroom to explain why they lost. The Project Manager for that task would choose two teammates perceived to be the reason for the lost or the weakest link in the team, one of whom would then be fired.

Isaac Dankyi-Koranteng, a 31 year old Sales and Marketing Manager from Ghana, won the first season. He was hired by Biodun Shobanjo.


That is it Mbogela from some sources.
 
Nakuona mkuu Mbogela ndani ya kampeni nzito! Safi sana, full uzalendo au sio?

Ila binti kasababisha wanangu walie hapa wakati akijieleza, I couldn't take it... Niliwakwepa nikawaacha walie nikiwa sipo
 
much respect kwa wadau wote wa JF its such an educating forum lets build our nation guys maana hawa mafisadi wanatisha!
 
Nakuona mkuu Mbogela ndani ya kampeni nzito! Safi sana, full uzalendo au sio?

Ila binti kasababisha wanangu walie hapa wakati akijieleza, I couldn't take it... Niliwakwepa nikawaacha walie nikiwa sipo

Sijamuona bado ngoja nimtafute, Katukanumba nini???? ennheee tumechoka na maandamano ya kuwatetea maana akichemsha watalipiza kisasi akina Ray. maana huyu anatokea media ambayo wanasema ilimemmaliza K.
 
Last edited:
Sijamuona bado ngoja nimtafute, Katukanumba nini???? ennheee tumechoka na maandamano ya kuwatetea maana akichemsha watalipiza kisasi wale akina Ray. maana huyu anatokea media ambayo wansema ilimamaliza K.
Ah,

Mkuu nadhani hukuangalia... Binti alijieleza maisha yake na kuelezea kuwa anahitaji kupata hela ya kumsaidia mamake na kujisomesha, sema aliongea kwa uchungu kuwa anajitahidi lakini jitihada zake hazijafua dafu... Aliwakuna washiriki wote kiasi wakaanza kulia WOTE. Kasema wadogo zake wanamtegemea mpaka anafanya kazi sehemu tatu kwa siku moja ili aweze kuwasaidia wadogo zake na mamake maana hawaishi na baba yao
 
Ah,

Mkuu nadhani hukuangalia... Binti alijieleza maisha yake na kuelezea kuwa anahitaji kupata hela ya kumsaidia mamake na kujisomesha, sema aliongea kwa uchungu kuwa anajitahidi lakini jitihada zake hazijafua dafu... Aliwakuna washiriki wote kiasi wakaanza kulia WOTE. Kasema wadogo zake wanamtegemea mpaka anafanya kazi sehemu tatu kwa siku moja ili aweze kuwasaidia wadogo zake na mamake maana hawaishi na baba yao

Lakini kusema ukweli ni vizuri sana, maana hiyo ndiyo hali halisi aliyo nayo ndani ya familia yake na ninahisi ana machungu mengi.

Kuna clip moja nadhani iko kwenye BBA4 Extra maelezo yake yalikuwa yanaonyesha kwamba alishampoteza baba yake, sijajua kama ni kwa kifo ama wazazi kutengana.

Kwa maelezo hayo imebidi nianze kumuombea ili afanikiwe apate ushindi, Mungu amsaidie apate ushindi ili akirejea aweze kuwasaidia wadogo zake na mama yake.
 
Lakini kusema ukweli ni vizuri sana, maana hiyo ndiyo hali halisi aliyo nayo ndani ya familia yake na ninahisi ana machungu mengi.

.

Naona kama ameonyesha mapema sana hizi emotion, wengi tunataka Entertainment ukiongeza na hizo sympathy. Jambo lingine muhimu ni kuwa unatakiwa kuwashawishi waafrica na sio kusema I am proud Tanzanian kwani wasio watanzania tayari umeshawapoteza. Nachomaanisha ana uhakika kura ya TZ (hii ana Uhakika nayo) sasa hivi anatakiwa kuwinda kura ya nchi zingine kwa mfano aliposema Habari (TZ, KE) angesema Dumela (Botswana) Mulibwanji (Malawi na Zambia) Ola (Msumbiji na angola) na haya maneno anayapata humo humo ndani. Lakini mpaka sasa jina lipo Juu tuendelee kudondosha kura,

Nampigia kila nikikatisha kwenye key board
 
wengine wanavyoiona. Lakini kwa kusema kuwa hata asiposhinda hili donge anajua kuna mtu huko nje amemsikia na kutakuwa na kitu kinafanyika wengi wameshafuta issue ya Sympathy mwendo mdundo, kura leo amechota nyingi, aanze kufikilia mkakati wa next week. maoni ya wadau wabaya.
sexy_feet



SEP 17, 2009 6:26 PM | Report as offensive


"
Quote:
"sad hey...but this is not a show for sympathy votes
blush.gif
but really, her story was touchin. I hope she wins and is able to achieve all she wante to achieve
"

Sure SF no sympathy show!!! Struggle continues for her with or without the bb money. He story just touched me.
"



me too AQ, but theres so many people unfortunate people put there. we only just got to hear her story which for me was also quite moving.
Its just that i wouldnt want to keep in a hm because i feel sad or sorry for them. they need to have earned it.not just by a sad story
today though, im voting for her
 
Maoni Kuhusu the hottest chick in the house kama walivyoyapanga watoa maoni.
wa kwanza anasema
1.Ema:good style,face?
2.my boom ,boom: Paloma,,confort
3.eshi,i cant continue,im already dead.

wa Pili
1. Jen
2. Kristal
3. Emma

wa tatu
1.Elizabeth.....i love everything about her, her beauty, charm and care-free nature,

2.Jen....She's the definition of FINE, point blank period.

3. It's a tie between Kristal and Emma, they got different attributes that make them appealing, respectively!

wa NNE
JEN,.KRISTAL AND EMMA,....ALL XTREMELY PRETTY

wa TANO
NO,NO,NO, I have to reshuffle my choice, Elizabeth is amazing and well structured.and she is still developing. Is lucky im not in the house.
monkey.gif


wa SITA
I'm a girl not sure if only guys suppose to comment .... must agree with King

Elizabeth definitely ....then

Jen

Mimi Ningeanza na Emma, Alafu Jenipher then Elizabeth khaaa!
 
Maggie alivyowachefua watazamaji
WA KWANZA Anasema
I'm watching the housemates' campaign speeches and Maggie was saying that it's ok for young girls to drink and get drunk because it makes her "not want to 'open her legs' " and she is more "stubborn" when she is drunk... wow. i don't think encouraging a culture of drunken behaviour is what she is in the house for. If she cna handle her liquor she should go ahead and keep drinking, but she should not encourage other young girls to drink because not everyone can handle their alcohol. there are many confused girls watching Big Brother and this might be misguiding to them!

Wa PILI
why do you want role models? why follow others? anyway bba is about entertainment so i say the less morals the better

Mimi nimebaki nashangaa hivi unaweza kweli kwenda kwenye national TV ukasema kuwa nilipoteza bikra yangu nikiwa na miaka kadhaa? Maggie ansema alipoteza sijui niseme aliitoa akiwa na miaka 19. Yaani nauliza kama ni jambo la kawaida kama akina dada wakakaa sehemu fulani wanasimuliana walivyopoteza bikra zao??

Maggie anatoka Zambia sikujua kama nao wanaweza kuweka hayo mambo wazi. Huko Botswana ukiwa mwalimu wa zamu (mwanaume) mtoto wa kike mkubwa kabisa (form V sema) anakuafuata anakuambia mwalimu nipo kwenye siku zangu naomba ruhusa nikabadiri mmmmh! Kitu ambacho Tanzania hakiwezi kutokea, sijui labda ipo huko mijini maana sisi wa vijijini issue ni siri Kubwa, yaani TOP SECRET
 
Maggie maggie tafadhari Mdomo uliponza kichwa???
she says she wants to be a role model...she lost her virginity when she was 19 and she is proud of that, what she wants people to know is that when you drink like she does close your lips...wtf??
she adds no value Maggie OUTOUT
Maggie is such a blond
 
Nkena Mambo sio Mazuri
Huyu Dada Nkena anaweza kujikuta asiingie nchi ya ahadi na kuonana na vinjemba vilivyoko huko Jumapili hii kwani tayari katika rank ya maboerer anweza kuwa anaongoza mpaka leo. Kwa vile eviction wiki hii ni wasichana tu basi wanapewa nafasi kubwa ya kuangaliwa. http://beta.mnet.co.za/mnetvideo/browseVideo.aspx?vid=18158
 
Maelezo ya Elizabeth yanagusa moyoni na yanaliza ...
 
Maelezo ya Elizabeth yanagusa moyoni na yanaliza ...

Katika Umri huu..Nimeguswa mno na Maneno ya Elizabeth,nimetokwa na machozi...Tujiunge wote katika umoja wetu kum-support huyu mwenzetu.Elizabeth anasema kwa uchungu kuwa anahitaji "Elimu"....Ni msichana mrembo na mwenye uelewa mkubwa...maelezo yake yanajieleza ni mtu wa namna gani.Tumpigie kura Dada huyu ili aendelee kuwepo kwenye BBA-2009.....Wenye uelewa mkubwa na mchezo huu,tupeni maelezo ni namna gani ya ku-vote!

Kila la Heri Elizabeth utafanikiwa.....maisha ni safari ndefu na ngumu,lakini endelea kusimamia katika unachoamini utafanikiwa tu! Good Luck!
 
Elizabath's story brings tears in BBA
DAILY NEWS Reporter, 18th September 2009

THE face of Big Brother Revolution has changed completely with the introduction of female Housemates. The new Housemates seem much more in touch with their feelings and are not afraid to display them.

It all started with Tanzanian housemate Elizabeth's emotional outburst during her speech on Thursday which set off a tearful domino effect on the rest of the Housemates. Elizabeth spoke about her tribulations growing up without a father and not having enough money to go to school and take care of her family.

Some girls started crying during the speech. The girls later sat down for some celebratory drinks and launched into more emotional conversations.

Paloma started crying as she thanked her "father figure" Simon, for helping her make it into the Big Brother House.

Jeniffer followed suit with her tearful dedication to her father who, although they have not always gotten along, encouraged her to enter the competition.

Rene also thanked her friends in Namibia who have always been there for her and have become like family to her.

Geraldine also gave a shout-out to her twin sister and her boyfriend back home who she only referred to as "T".
 
...Tujiunge wote katika umoja wetu kum-support huyu mwenzetu.Elizabeth anasema kwa uchungu kuwa anahitaji "Elimu"....Ni msichana mrembo na mwenye uelewa mkubwa...maelezo yake yanajieleza ni mtu wa namna gani.Tumpigie kura Dada huyu ili aendelee kuwepo kwenye BBA-2009.....Wenye uelewa mkubwa na mchezo huu,tupeni maelezo ni namna gani ya ku-vote!

Kila la Heri Elizabeth utafanikiwa.....maisha ni safari ndefu na ngumu,lakini endelea kusimamia katika unachoamini utafanikiwa tu! Good Luck!

Mkuu kama upo nje ya nchi zinazoshiriki unaweza kuvote moja kwa moja online, utajihitaji kujisajili kama tufanyavyo hapa JF tumia Nick name alafu ukifika huko utaweza kuvote as many times as you want. ASANTE KWA KURA YAKO KWA ELIZABETH http://www.mnetafrica.com/bigbrother/Vote/
 
Mbogela,

Hujatoa feedback ya e-mail uliyoandika kwa jamaa wa MNET kuhusu wateja wanaotaka kuona BBA4 mtandaoni.

Kwa kuwa umekuwa unafuatilia kwa karibu maoni ya wana mtandao kutoka BBA forum, ambao nina hakika ni sehemu kubwa ya wapiga kura wa BBA, upepo unaonyesha washiriki gani (wawili, nina assume kama ilivyokuwa kwa njemba) ambao wanaweza kutemwa Jumapili hii?

Elizabeth kwa sababu ya Afrika Mashariki nina hakika Tanzania, Kenya na Uganda hawatamuangusha, kwa hiyo anaweza kupeta kwa sababu ni msichana pekee kutoka EAC. Kasheshe iko kwa nchi ambazo zina wasichana washiriki zaidi ya mmoja, mfano, Nigeria, Sauzi, Zambia na Angola, hapo lazima wagawane kura bila kupenda.
 
Hivi kwanini Big Sisy hataki kuunganisha hizi ngoma mbili ili game ya kikweli ianze? Nilikuwa ninatarajia Jumatatu asubuhi ama Jumapili usiku (after eviction of ladies) ngoma iunganishwe, lakini baada ya wavulana kuambiwa wachague HoH na wasichana wachague HoH, kuna kila dalili kwamba wiki ijayo tena tutaendelea kuona BBA mbili, ya wanaume na wanawake.

Pia kitendo cha wasichana kuwaangalia wavulana kwenye runinga while wavulana hawajui kinachoendelea, Big Sisy hajawatendea haki wanaume. Wasichana walio makini, hata kama hawasikii maongezi ya hao akina kaka, bado wanaweza ku-guess alliances ambazo ziko kwa wanaume mpaka sasa maana ziko wazi sana na muda wote utawaona wamekaa kwenye makundi 2. Kwa hiyo wasichana wakiingia huko watakuwa wanajua wajiunge na kundi gani ili waweze ku-survive.

BBA ya mwaka Tawana aliporudi ndani ya nyumba alikaa mpaka mwisho kwa kuwa alijifunza mengi sana wakati akiwa kwenye dampo na alikuwa anaona game zinavyokwenda na ilikuwa rahisi kwake kuona alliances. Hata Latoya aliapa kwamba angepata nafasi ya kurudi ndani ya nyumba lazima angefika mwisho wa safari kwa kuwa akiwa kwenye dampo aliona wazi politics ndani ya nyumba zilikuwa zikoje alijua nani mkweli na nani mnafiki.

Kwa hiyo kwa style hii ya Big Sisy kunaweza kuwa na mchemsho mkubwa na tusije tukashangaa mshindi wa mwaka huu akiwa ni msichana.
 
Back
Top Bottom