BooSt3D
Senior Member
- Feb 29, 2008
- 129
- 12
Elizabeth ameanza vizuri wiki hii kwani wenzie hawajam-nominate for possible eviction lakini kama ataendelea na ukimya huu nina wasi wasi ataonekana kuwa boarer muda si mrefu, yupo kimya mno. Anaweza akajikuta anatoaka kwa kutokuwa na kura nyingi za washabiki
Yes, You Are Absolutely correct, Sijui Ni Issue Ya KANUMBAH "na Kiingereza" ambayo inamfanya aogope Kuongea au ni Mkimya hivyo Kila siku!.
Hapa we unafikiri ni nani wa kulaumu!?, ni sisi wenyewe ambao tuna-disappoint artists wakifanya blander(s) instead ya kuwapa courage au yeye mwenyewe?
I think Anahitaji Kuwa mchangamfu na mwongeaji, asipokuwa makini she'll be gone too soon.
B.