Big Brother Africa 2009: The Revolution

Big Brother Africa 2009: The Revolution

Kwanini Poloma amechaguliwa kuwa HoH kwa kura nyingi sana? Ni dalili kwamba ni threat kwa kundi la wanawake ama ana kipaji cha uongozi? Kwa wale wanao angalia muda mwingi, je ana-entertain zaidi kuliko wengine ama ni nini hasa special alicho nacho?

Kule kwa wanaume naona kura zilienda kulingana na alliances, huku kwa wadada sijajua kama kuna alliances zozote.
 
Kweli Mkuu wanawake wanachonga sana, kama huyu dada wa Zambia mwenye mwili mkubwa (I think Paloma) ameniudhi jana, anasema maji maji (manii) yanayotangulia kwenye uume wa kabla ya kufanya ni HATARI SANA. Mimi nikadhani anasema yanweza kukupa mimba mwisho anasema unaweza kufa hivi mara typhod mara, ini, yaani magonjwa yote aliyosema hayendani na ngono

Nadhani Nilikuwa sahihi, umeona jinsi alivyoreact mwenzie alivyomwambia atumie tissue wakati anapenga kamasi, anataka kugombana, PALOMA OUT bahati mbaya leo anaweza pona maana Mggie na Edna wana nafasi ndogo sana ya kubaki

 
Last edited:
Paloma anatoka KITWE (Zambia) mji mmoja na aliotoka Cherish Simmons mshindi wa BBA I (2003) Lakini sidhani kama ni jambo zuri kutanguliza utaifa kwa kusema atawakilisha Culture ya Zambia hapa watu wanajali Uafrika zaidi, naona angesema anawakilisha a real african woman

Hili tuliliona toka jumatatu Ebu tuone kama waafrika wenzetu wanaliona kama hivi,. Tupo dunia mbili tofauti, walio ndani wanamuona anajituma wakampa Uhead of House wa nje tunamuona anaongea mno na analazimisha attention, yupo kwenye wakati mgumu ebu tusubiri saa 12
 
Kura kila baada ya saa moja. Mlio nje ya TZ ni Bure kwenye mtandao
 

Attachments

  • thumb_4~1.jpg
    thumb_4~1.jpg
    4.8 KB · Views: 39
  • thumb_9~2.jpg
    thumb_9~2.jpg
    4.7 KB · Views: 31
  • thumb_14.jpg
    thumb_14.jpg
    4.6 KB · Views: 28
  • thumb_14Sep_girl5_lg.jpg
    thumb_14Sep_girl5_lg.jpg
    5.9 KB · Views: 31
  • thumb_enter1.jpg
    thumb_enter1.jpg
    6 KB · Views: 33
hakika amepeta, wameondoka Edna (Angola) na Maggie (Zambia).

Maggie alituchefua napale aliposema alipoteza bikra akiwa ana miaka 19 (labda alikuwa mkubwa tayari) lakini shida ilikuwa hivi ni vitu vya kushare na kila mtu, la Pili alikuwa anasema akilewa huwa anauwezo wa kutomfungulia mwanaume yeyeto miguu, akiwa hajanywa ujasiri huo hupungua,
 
hakika amepeta, wameondoka Edna (Angola) na Maggie (Zambia).
Nadhani Edna ameponzwa na Ukanumba wake kwenye lugha ya Queen. Multi Choice wa Angola wanapaswa kulaumiwa kwa kumpeleka mtu asiyeweza kuwasiliana.

Hata Hivyo sasa ngoma droo, Angola wanabaki na mmoja (EMMA) na Zambia nao (PALOMA) Lakini kama Paloma hatabadirisha tabia yake ya kuovereact hakika anafuata
 
Last edited:
Nadhani Edna ameponzwa na Ukanumba wake kwenye lugha ya queen. Multi Choice wa Angola wanapaswa kulaumiwa kwa kumpeka mtu asiyeweza kuwasiliana.

Hata Hivyo sasa ngoma droo, Angola wanabaki na mmoja (EMMA) na Zambia nao (PALOMA) Lakini kama Paloma hatabadirisha tabia yake ya kuovereact hakika anafuata

Sidhani kama Paloma anastawi mle ndani, huenda next eviction akawa yeye. Kitendo chake cha kutaka kumpiga Rene wakati alikuwa anaambiwa ukweli kimemboa kila mtu mle ndani hata watazamaji pia. Housemate walijitahidi sana kumweleza ukweli lakini alikuwa mbogo.

Nadhani housemate wanajutia kura walizompigia kuwa HoH.
 
Nadhani housemate wanajutia kura walizompigia kuwa HoH.
Anatokea Kitwe alikotokea mshindi wa BBA I, Cherrish, kwa hiyo nadhani atakuwa alipewa mikakati namna ya kuwin hili game. Kuna mambo mengi amekopi ya Cherrish, Kuchair mazungumzo, kujituma kazini, Kusali, kwa hiyo hii imewadanganya wenzie dakika za mwanzo. Sawa na Emma anacheza almost sawa na Ricco mshindi wa BBA III lakini Elizabeth yupo tofauti na Richard Mshindi wa BBA II.

Paloma Jazba ni tabia yake hawezi kuibadiri, imewaudhi wengi
 
Kauli ya Maggie wakati anatoka inaweza kukufanya mtu ufikirie upya kama utaambiwa upige kura tena, inatia huruma, she is intelligent, amejibu vizuri hasa maswali ya mwisho.
 
[FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]Which housemate do you want to win BBA4?[/FONT] [FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]Kevin[/FONT][FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]
green.gif
23.60 % (2113)
[/FONT] [FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]Elizabeth[/FONT][FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]
blue.gif
14.33 % (1283)
[/FONT] [FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]Kaone[/FONT][FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]
gold.gif
7.61 % (681)
[/FONT] [FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]Jeremy[/FONT][FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]
darkgreen.gif
6.93 % (620)
[/FONT] [FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]Mzammo[/FONT][FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]
pink.gif
6.31 % (565)
[/FONT] [FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]Quinn[/FONT][FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]
pink.gif
4.84 % (433)
[/FONT] [FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]Yacob[/FONT][FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]
purple.gif
4.21 % (377)
[/FONT] [FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]Itai[/FONT][FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]
brown.gif
3.59 % (321)
[/FONT] [FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]Edward[/FONT][FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]
aqua.gif
3.19 % (286)
[/FONT] [FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]Nkenna[/FONT][FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]
purple.gif
2.74 % (245)
[/FONT] [FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]Paloma[/FONT][FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]
red.gif
2.57 % (230)
[/FONT] [FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]Hannington[/FONT][FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]
blue.gif
2.52 % (226)
[/FONT] [FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]Phil[/FONT][FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]
orange.gif
2.50 % (224)
[/FONT] [FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]Geraldine[/FONT][FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]
darkgreen.gif
2.44 % (218)
[/FONT] [FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]Emma[/FONT][FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]
brown.gif
2.37 % (212)
[/FONT] [FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]Krystal[/FONT][FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]
green.gif
2.10 % (188)
[/FONT] [FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]Jennifer[/FONT][FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]
gold.gif
1.56 % (140)
[/FONT] [FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]Liz[/FONT][FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]
grey.gif
1.55 % (139)
[/FONT] [FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]Edna[/FONT][FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]
aqua.gif
1.50 % (134)
[/FONT] [FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]Rene[/FONT][FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]
yellow.gif
1.40 % (125)
[/FONT] [FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]Leonel[/FONT][FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]
grey.gif
1.18 % (106)
[/FONT] [FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]Maggie[/FONT][FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]
orange.gif
0.96 % (86)
[/FONT][FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]Total votes: 8952[/FONT]

Source:http://www.bigbrotherafrica.com/poll/index.php
 
Quotes For Days

The boys are over the moon at having female company in the House. The ladies haven't been in the House for very long and the boys have already said some things about the girls…and we can quote them on it!

Edward: Excuse me, what's your name? (to Elizabeth)
Elizabeth: Elizabeth
Edward: Oh ok, I'm Edward. Like King Edward.

"The guys are loaded!" – Jeremy

"I don't tie my sh!t up" - Phil

"These women are gonna chew us up and spit us out" - Yacob

"i have never had a relationship... Never" - Hannington (to Emma)

"Did they bring condoms?" – Phil

"And that one standing, from Moz, i dont like the red thing around her lips, and the fake hair" - Edward


Jeremy: Aren't you worried? (To Kristal)

Kristal: Am i worried, what about?

Jeremy: That you might meet someone in the house....

Kristal: Oh that, funny you should ask that coz my family was asking me the same thing, my mother spoke about it, my boyfriend spoke about it....but, am only human and i got emotions so if something happens, why not???

Jeremy: Yeah girl, i know what you saying, i also have a girlfriend
 
Liz aangalie sana asipocheza karata vizuri huenda kujichnaganya na wanaume kutamchnaganya but so far naona kwa kina dada hana mpinzani
 
Liz aangalie sana asipocheza karata vizuri huenda kujichnaganya na wanaume kutamchnaganya but so far naona kwa kina dada hana mpinzani

Yaaa mpaka sasa yupo juu, nadhani anaweza kuingia kwenye fainal na Kelvin, Emma, Hannigton, labda na Jenipher. Anyway bado mapema lakini yupo safi mpaka sasa. Nadhani TZ stregth yetu ni wawakilish wetu wana akili ya kukomaa, Eliza anashindana point na wenye masters zao humo ndani, I think Akiendelea hivi tunafika mbali.
 
wats up Namibians?😕
This is ur gel Babybop 4rom the foundation care family. I love the BBA 2009 coz of the twin part taking place. I would thank BB for edditing some new system. Fallow Namibians pls let us vote for this twins to bring the money home.Love you guys
 
Yaaa mpaka sasa yupo juu, nadhani anaweza kuingia kwenye fainal na Kelvin, Emma, Hannigton, labda na Jenipher. Anyway bado mapema lakini yupo safi mpaka sasa. Nadhani TZ stregth yetu ni wawakilish wetu wana akili ya kukomaa, Eliza anashindana point na wenye masters zao humo ndani, I think Akiendelea hivi tunafika mbali.

Ms Mbogela...Jana nilikuwa naangalia zile clip nikaona wakaka wako busy na akina Emma,Geraldine,Renee na kadhalika ila wasichana ambao wakos o cool na wazuri kama Elizabeth,Jennifer na yule wa zimbabwe nimemsahau jina lake (mulato chick)......wala hawakuwa na muda nao...how come?....Ila dah yule kamdada wa Malawi (mzamo)....aisee ana energy kupita kiasi i like her kwa kweli.....kama wasichana wote wangekuwa kama Mzamo ingekuwa very alright...Elizabeth yupo so quite hata kuongea anaongea kwa nadra though amesema she has this naught side of her na pia sometimes anakuwa cool na siyo kama hataki kuongea ila anasoma watu...utamsoma mtu for how long?...i call it bipolar disorder..Inabidi yeye ajichanganye tuu kama Nnkena hahahaha the girl with her dance anakuwa kama anajikakamua.....Nilipenda Emma alivyokuwa anadance kama MJ
 
[SIZE=-1]Dada yetu anaendelea kupeta, msiache kumpigia kura atafika mbali![/SIZE]

Big Brother Africa Polls
Who is the most beautiful lady in the house?
Elizabeth
blue.gif
22.6%

Emma
brown.gif
17.6%

Krystal
grey.gif
16.3%

Jennifer
gold.gif
13.6%

Geraldine
darkgreen.gif
7.9%

Mzammo
pink.gif
4.9%

Nkenna
purple.gif
4.3%

Rene
yellow.gif
3.4%

Liz
green.gif
3.0%

Paloma
red.gif
2.4%

Edna
aqua.gif
2.0%

Maggie
orange.gif
1.9%

[FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]Total votes: 10,706[/FONT]
[SIZE=-1]Big Brother Africa [/SIZE]
 
[SIZE=-1]Dada yetu anaendelea kupeta, msiache kumpigia kura atafika mbali![/SIZE]

[SIZE=-1]Big Brother Africa [/SIZE]

Mkuu suala la uzuri linaweza kumfanya asogee mbele kidogo shida ni mkimya mno, yaani kama vile niwe karibu naye nimfinye. Umewahi kuona movie ya panya alitaka kujifunza kupika ha ha ha sijui alikuwa mr. gustaf
 
Back
Top Bottom