Big Brother Africa 2009: The Revolution

Big Brother Africa 2009: The Revolution

Bad News: Wiki hii imekula kwetu

News: HoH Itai Makes A Choice

One of the joys of being Head of House is that you can save a Housemate that’s been nominated for eviction, but then you have to replace them with another-or face eviction. This week, Head Of House Itai was put on the spot, but his circumstances were different to previous HoH’s Kevin and Elizabeth

This week, the Housemates have been paired up to work together. Should one half of a pair be nominated, then the other half is. Similarly, should a Housemate be evicted, the other half is too.

Earlier, Itai spoke to Kristal Kristal, telling her that he wanted to save her and replace her with Elizabeth – but he really didn’t want to put Kevin in the line of fire. In the end, Itai decided to save Kristal/Quinn, and replaced them with Elizabeth/Kevin. Well, Itai wanted to shake things up in the House, and it seems like he’s already begun.

This leaves this week’s nominees for eviction as follows:

Yacob/Hannington

Elizabeth/Kevin

Haya shime wale wote wenye access ya mtandao na wanaotumia simu, pigeni kura kwa mwakilishi wetu ili asitoke.

Southern Africa [Zambia, Malawi, Zimbabwe, Namibia, RSA, Angola, Botswana & Mozambique] zitakuwa swing votes kwa kuwa walio kwenye chop board ni West na Eastern Africa.

Kuna kampeni kubwa ya kutaka kichwa cha Elizabeth kwa kosa la kum-swap Erastus, lakini pia kuna kampeni kubwa ya Nigerians kumwokoa Kevin. Ni ngumu sana kutaviri outcome kwa kuwa kuna visasi na pia kuangalia strategies za wawakilishi. Hii ni wiki nyingine ambayo itakuwa na tension kubwa sana kwa wapiga kura.
 
nikiwa kama strategist wa kujitolea, nashauri hivi: Waliopo Tanzania wampigie kura nyingi Elizabeth kadri inavyowezekana. Wakati huo huo tuliopo waliopo nje ya nchi wapige kura kama 'Rest of afrca' ili kupata kura 2 kwa pamoja. Hapa tunaweza tukaliwa kama hatutafanya jitihada.
 
Tukumbushane namna ya kumpigia kura mwakilishi wetu.

Kwa wale wenye access ya mtandao wanaweza kuingia hapa kwenye link hii:

http://www.mnetafrica.com/bigbrother/Vote/#website

Lakini lazima uwe umejiandikisha na unagonga kwenye picha ya Elizabeth then mambo yanakuwa mswanu. Unaweza kupiga kura 24 kwa siku nzima, yaani kura moja kila baada ya lisaa.

Kwa wale wenye simu, tuma ujumbe huu: VOTE ELIZABETH kwenda kwenye namba hizi hapa chini:

Vodacom ........ 15726
Zain ............... 15726
Tigo ............... 15726

Kwa kila msg unayotuma utalipa Shilingi mia sita tu, na unaweza kupiga kura mara 100 kwa kutumia simu kwa kipindi cha wiki nzima, siyo lazima iwe kila baada ya muda fulani.

Kwa walio nje ya Tanzania na nje ya nchi zinazoshiriki, wanatakiwa kutuma msg: VOTE ELIZABETH kwenda kwenye namba hii: +2783142100414

Naombeni kura zenu kwa niaba ya Mwakilishi wa Tanzania ndani ya BBA4.
 
nikiwa kama strategist wa kujitolea, nashauri hivi: Waliopo Tanzania wampigie kura nyingi Elizabeth kadri inavyowezekana. Wakati huo huo tuliopo waliopo nje ya nchi wapige kura kama 'Rest of afrca' ili kupata kura 2 kwa pamoja. Hapa tunaweza tukaliwa kama hatutafanya jitihada.

kweli wanaume wanyonge mbele ya akina dada, sasa Itai alikuwa hataki kumuweka jamaa yake kelvin kwenye firing squard lakini Kristal amemshawishi mpaka kamuingiza. Sina muda wiki hii lakini nitakuwa napita kwenye net every one hour natandika kura yangu. Mambo yanaweza yakawa si mambo hapa, inabidi kampeni kubwa zaidi, ebu angalia nchi ngapi zinaweza kutupa kura, kelvin naona watu wanamsema sio vizuri sana, unigeria wake utamponza
 
Sikufuatilia sana maamuzi ya Itai, ingawa anaonekana alishaamua kulipa kisasi kwa Elizabeth kwa kitendo cha kum-swap Erastus ambaye alikuwa ni best wa Itai na pia Kristal alikuwa anapiga umbea kwamba hata Phil alikuwa best wa Itai, kwa hiyo ni kama analipa kisasi mara 2.

Strategically, Itai anaweza kuwa amefanya move nzuri sana kwa upande wake kwa kuwa yuko kwenye team moja na Nkenna, so Kevin akitaka kulipa kisasi inaweza kuwa ngumu, unless kama Nkenna akiamua kujitoa kama jinsi alivyoanza kuonyesha dalili kwamba hayuko compatible na partner wake.

Ngoma ya wiki hii ni ngumu sana haina tofauti na ya wiki iliyopita. Lakini ukweli unabaki pale pale, kwamba BB amechemsha kuwaunganisha kwa kuwa kuna watu wataenda nyumbani kwa makosa ya partner wake. Kama hizo pairs zingekuwepo tangu mwazo, angalau watu wangekuwa wanawekana sawa, lakini hii ya kuunda pair leo na kesho asubuhi nominations, it is very very unfair.
 
lakini naona Hannington na Yacob wana nafasi kubwa ya kumwagwa kuliko Elizabeth na Kelvin
 
nikiwa kama strategist wa kujitolea, nashauri hivi: Waliopo Tanzania wampigie kura nyingi Elizabeth kadri inavyowezekana. Wakati huo huo tuliopo waliopo nje ya nchi wapige kura kama 'Rest of afrca' ili kupata kura 2 kwa pamoja. Hapa tunaweza tukaliwa kama hatutafanya jitihada.

Nakuunga mkono kwa 100%. Vilevile tuliopo nje tuwatumie email wabongo wengi huko nyumbani juu ya namna ya ku-vote huku tukiwahamasisha ku-vote(mimi nimekwiwatumia watu zaidi ya 50 kwenye email zao). Hii ni campaign ambayo inahitaji kila aina ya mshiriki.
 
kazi imeanza..kelvin kashaanza kutupa ndoano kwa elizabeth.........elizabeth kachomoa katakata ndoana ya kwanza..naona labda sababu kelvin hakuonesha kua serious..tuone wataendeleaje siku hizi zinazofata...but elizabeth kanifurahisha..but anaweza akawa ana pretend na yeye
 
Jamani nisaidieni.nauliza anayepata kurs nyingi si ndio huwa anatoka?mi sijaelewa maana naona hapo juu kuna mtu kaelekeza jinsi ya kupiga kura na amesema vote Elizabeth. je hii ni sahihi?naombeni msaada wenu wana jamii
 
Big Brother Wants Your Vote!

ivote_head.png
Vote to Keep Your Favourite in the House!
Big Brother wants your Vote: Just remember, you are voting to keep a nominated Housemate in the House!

Which means, the more you vote for your favourite nominated Housemate, the better their chance of staying in the house. The Housemate who receives the least number of votes will be Evicted.
You can vote to keep a nominated Housemate in the House in three different ways:
1. By sending an SMS
2. Using MXit
3. Via the website, or the wapsite on your mobile phone.

For the voting terms and conditions please click here
 
Big Brother Wants Your Vote![/

Nashukuru ngoja niingie huko nami nikapige kura yangu kumsave MTZ
 
wadau mbona mumeacha kweka summary ya siku hapa? Mimi nakatisha Mnet.com kucha kura tu, sijapata muda wa kufuatilia nini kinanendelea huko kwa hiyo kama mtatupa update hapa mtakuwa mmetusaidia sana.
 
Sasa ni hakika buti la maana kelvin amekula
News: Elizabeth Rejects Kevin

icon_date.gif
08/10/2009
icon_comm.gif
162 comments

Kevin recently made it clear that he likes Elizabeth when he asked her to share a bed with him . Elizabeth then told Kevin that she doesn't have any romantic feelings for him, and that she has a boyfriend outside of the House. Kevin pushed, but was still rebuffed by Elizabeth.

Tonight, Kevin tried to get closer to Elizabeth when he sat next to her on the couch. While caressing her face and hair, Kevin tells her he likes her and wanted to know whether she would feel jealous if he was "friendly" with other girls. Elizabeth then replied that she would have no reason to be jealous, as she is not his girlfriend and can therefore not be jealous of something that she's never had.
 
ChaMtuMavi na ujumbe wako na. 69 unaonesha hujui lolote kuhusu Big Brother hili unabidi ukubaliane nalo.Big Brother ni reality tv show yaani mambo yanayotokea ni kweli na ulianzia Marekani (USA) ambapo kunakuwa na mtu asiyejulikana anayeitwa Big Brother.Huyu huona yote yanayotokea kama ni kwenye jumba au porini,na wenzetu walioendelea wana satellite zinaitwa Big Brother ambazo huona kila kitu kinachotokea iwe ndani au popote duniani.Ndio maana house mates wanavishwa vipaza sauti na kamera nyingi unawaona kila kitu wanachokifanya.

Kama kuna mtu hajakusahihisha, wewe unayejua yote...
Big Brother ilianza Uholanzi. Nadhani owner ni Endemol, kampuni ya kidachi inauza rights. Ukiangalia big brother lazima kwenye credits uone jina la Endemol.

BIG BROTHER - WHERE DID IT START?
 
haya maneno hayo leo ndio leo mtu nje! tuna masaa machache
 
Elizabeth amechomoka, na hivyo anasonga mbele. Asanteni kwa kura wale wote waliompigia kura mwakilishi wetu. Ilikuwa ni mchuano mkali sana, lakini ndio game.
 
Elizabeth amechomoka, na hivyo anasonga mbele. Asanteni kwa kura wale wote waliompigia kura mwakilishi wetu. Ilikuwa ni mchuano mkali sana, lakini ndio game.

Sijaelewa ndo kusema katolewa kwenye jumba au bado yumo???
 
Back
Top Bottom