Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hello member!🙂
Dah,Wewe nawe bana! mbona unaingilia uani? hapa wenzio kiana Keil na Mbogela....wako busy na kina Elizabert bana.....unaharibu atmosphere....!
Welcome on board JF........!
Check this Out:
Big Brother Africa - Season 1 Highlights (2003)
http://www.youtube.com/watch?v=1yXElMLRcX4
Nominations: Week 6
H/mates up for eviction this week
1. Liz/Kaone
2. Edward/Emma
Mbogela naona binti yetu anaanza kukolea na nyimbo za mnigeria aisee mana hata kemia ipo sio kama mwanzo.U can read the bodylanguage!Leo Kelvin kajitahidi sana kuomba mtoto wa Kitanzania, nahisi Elizabeth aliishiwa maneno akaishia kusema unadanganya, wewe mwongo, kama jamaa akivumilia anaweza akafikiriwa. Lakini Nimependa mtoto ameonyesha ujasiri anamuangalia jamaa machoni, na jamaa alipojaribu kukwepesha macho alimbana kwa kumwambia amwangalie usoni, then Kelvin akata kumsogelea akamwambia kwa lugha nzuri ahaa haa usinisogelee simama hapo hapo, maana alijua akimpa nafasi tu jamaa anaunganisha midomo, jamaa kajaribu kumshika kamwambia hapana ongea na mdomo sio mikono, Ndio maana nampenda huyu mtoto.
http://beta.mnet.co.za/mnetvideo/browseVideo.aspx?vid=19746
Naona Kevin hakubali kushindwa
Hasa mzee huyu BF wake huku home daa pressure lazima itakuwa inapanda inashuka http://beta.mnet.co.za/mnetvideo/browseVideo.aspx?vid=19814Mbogela naona binti yetu anaanza kukolea na nyimbo za mnigeria aisee mana hata kemia ipo sio kama mwanzo.U can read the bodylanguage!