Big Brother Africa 2009: The Revolution

Big Brother Africa 2009: The Revolution

Uchambuzi na utabiri wetu ulikwenda sawa, hongera KEVIN and all KFC. The King of Swagga, midget ha ha ha, good.
 
I was excited to see Emma at that stage! That's a great achievement
 
Kevin is now in a Tanzanian T-shirt... Lovely...

End of show
 
Kevin had 11 votes
Emma had 2 votes
Edward had 1 vote
Mzamo had 1 vote
Nkenna had 0 vote(s)

1 Country = 1 vote
 
Kevin is now in a Tanzanian T-shirt... Lovely...

End of show

Hii Tshirt ya Tanzania ilionekana akitupiwa Kevin kutoka kusikojulikana, labda kutoka kwa Eliza!!! Mama yake KEVIN kaja na T Shirt nyekundu yenye ramani ya Nigeria na kumvika mwanaye kufunika hiyo ya Tanzania
 
Pamoja na fitina zote lakini Eddie amechemsha
 
Emma nae kajitahidi sana maana, Edward naona karibu ajizike kupitwa hata na Emma
 
Kevin had 11 votes
Emma had 2 votes
Edward had 1 vote
Mzamo had 1 vote
Nkenna had 0 vote(s)

1 Country = 1 vote

duh! bonge la landslide...
Edward huko aliko, sijui vipi yaani...maana ndiye alionekana mshindani mkubwa wa Kevin
 
Back
Top Bottom