Ushindi wa PREZZO ni sifa kwa WAKENYA, kwa kuwa babake (Bw. Makini) anatoka uko.
Sifa kwa WATANZANIA kwa kuwa Mamake (Bi. Mary) anatoka Tanzania.
Sifa kwa watu wa AFRIKA MASHARIKI, ndipo zilipo nchi hizi mbili (Kenya & Tanzania).
Sifa kwa watu kutoka Afrika bala tunalojivunia wote.
Pigia PREZZO kura; piga kura mara nyingi kadri uwezavyo.
Ahsanteni!