BIG BROTHER AFRICA: Pigia PREZZO kura.

BIG BROTHER AFRICA: Pigia PREZZO kura.

mwitaz

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2012
Posts
313
Reaction score
93
Kwa moyo mkunjufu nawaomba mmpigie PREZZO kura.

Mpigie kura katika hii link VOTE PREZZO

Ama ingia katika wesite http://www.bigbrotherafrica.com kisha uchague jina lake halafu ubofye kwenye vote.

Ahsante sana.

Na mwitaz
 
Last edited by a moderator:
Ushindi wa PREZZO ni sifa kwa WAKENYA, kwa kuwa babake (Bw. Makini) anatoka uko.
Sifa kwa WATANZANIA kwa kuwa Mamake (Bi. Mary) anatoka Tanzania.
Sifa kwa watu wa AFRIKA MASHARIKI, ndipo zilipo nchi hizi mbili (Kenya & Tanzania).
Sifa kwa watu kutoka Afrika bala tunalojivunia wote.

Pigia PREZZO kura; piga kura mara nyingi kadri uwezavyo.

Ahsanteni!
 
Back
Top Bottom